Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Miaka minane hawajalipwa fidia na Serikali
Wananchi huko wilayani Bukombe mkoa wa GEITA wanailalmikia Halmashauri yao kwa kutolipwa fidia licha ya kufanyiwa hesabu za fidia kwa kipindi cha miaka minane ilyopita.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi leo