wolf5100 Member Joined Apr 9, 2016 Posts 58 Reaction score 26 Jul 15, 2016 #41 Kibudu nyama sio nyama¿=NYAMA
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,117 Reaction score 22,174 Jul 15, 2016 #42 Ndiooooo
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 8,539 Reaction score 10,782 Jul 15, 2016 #43 kwani kumla kuku kibudu ni dhambi? na inaathari gani wakati anachemshwa /kuchomwa na kupikwa?
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,457 Reaction score 3,590 Jul 16, 2016 #44 Hapa inahitaji intelejensia kama ya kamanda kova ili kujua huyu ni kibudu
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,945 Reaction score 5,379 Jul 16, 2016 #45 Kaabah said: Na kama ukiagiza chakula sehemu, mfano ugali ukakuta nyama ni nyingi sana kupita kiasi lakini ugali ni mdogo... Tia shaka. Click to expand... mkuu si kila mtu anakula ugali kwa nyama wengine tunakula nyama kwa ugali.
Kaabah said: Na kama ukiagiza chakula sehemu, mfano ugali ukakuta nyama ni nyingi sana kupita kiasi lakini ugali ni mdogo... Tia shaka. Click to expand... mkuu si kila mtu anakula ugali kwa nyama wengine tunakula nyama kwa ugali.
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,138 Jul 16, 2016 #46 Ha ha ha.. Ndo mana nikununuaga mishkaki barabaran nanunua kama ya buku mbili alaf ya jero nampatia muuzaji aile pale pale namuona .. Akikataa ujue na hela ndo sitoi alf nasepa kimya kimya....
Ha ha ha.. Ndo mana nikununuaga mishkaki barabaran nanunua kama ya buku mbili alaf ya jero nampatia muuzaji aile pale pale namuona .. Akikataa ujue na hela ndo sitoi alf nasepa kimya kimya....