Anapendezea zaidi kuendekea kuwa mtunzi wa hadithi mfuShigongo
Aya uyo shigongo ubunge imetosha sasa aendelee na shughuli nyingineKivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome
Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria na mizigo katika jimbo hilo
Kivuko hiki ni miongoni mwa vivuko viwili vilivyoombwa na Mbunge Shigongo, ambaye alimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuwaletea vivuko hivyo kwa ajili ya kuwahudumia wananchi
Mbunge Shigongo alikizindua kivuko hicho Julai 2, 2025
Soma pia: Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa
Jamaa amehangaika sana dakika za mwishoAya uyo shigongo ubunge imetosha sasa aendelee na shughuli nyingine
Kanipa maujiko shigongo!Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome
Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria na mizigo katika jimbo hilo
Kivuko hiki ni miongoni mwa vivuko viwili vilivyoombwa na Mbunge Shigongo, ambaye alimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuwaletea vivuko hivyo kwa ajili ya kuwahudumia wananchi
Mbunge Shigongo alikizindua kivuko hicho Julai 2, 2025
Soma pia: Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa
Sana yaani na alitoa ahadi ya kuleta tractor la Kijiji mpaka sasa akiulizwa anasema lipo njiani ccm wametuona watanzania matako yao et😬Jamaa amehangaika sana dakika za mwisho