Sumu ya CCM bado ni ile ile. Ni chupa tu imebadilishwa. Magufuli mwenyewe katika hotuba yake ya kuomba kura aliwatamkia wazi mafisadi wenzake kwamba hatawaangusha! Kwa kauli hiyo wala wananchi wasitegemee jipya! Ni ufukara mwingine kwa kwenda mbele
UKAWA nao wakianza kufanya mikutano ya hadhara usiku policcm wasianze kuleta mambo ya intelijensia!
View attachment 270368
View attachment 270369
Wananchi wa Wilaya ya Bahi hata usiku ilibidi wamsubiri Dkt.Magufuli japo kuapata neno la utambulisho wake.
UKAWA nao wakianza kufanya mikutano ya hadhara usiku policcm wasianze kuleta mambo ya intelijensia!
Mimi nipo bahi mwenyekiti wa ccm alikuwa anapita nyumba kwa nyumba akihamasisha tuende barabarani ili aonekane anachapa kazi mimi nilimtoa puta