Ndesamburo aliahidi kuanza kutekeleza ahadi ya Nassary ya kutatua tatizo la maji hapa Arumeru na Siyo Ndesamburo aliyekuja na ahadi hiyo moja kwa moja kana kwamba haikuwa ahadi ya Nassary hapa Arumeru. Majungu hayatawasaidia fanyeni kazi.
Mkuu tunakumbuka kuchimba kisima ilikuwa ahadi ya Mzee Ndesamburo, tena kwa kauli yake Nassari alisema tumepewa Offer na Mzee Ndesamburo ya kuchimba kisima...acha kupotosha.
Acha ujinga thread ilisema ahadi za Nasari kuchimba visima baada ya kukujibu post ya kwamnza kabisa ukabadilisha ukaja na hizi propaganda za kijinga....Mkuu mimi huwa sibishani na watu kama nyie ambao sio waelewa. Hapa kinachoongelewa ni kuhusu "AHADI YA SUKARI HAIJATEKELEZWA" Hebu tujikite katika hili. sawa bwana?
Sasa kama hata kuhesabiwa mnakataa tutajuaje kiasi cha sukari kinachohitajika ?Hii ya Sukari ndio ilikuwa ya kwanza.
Mkuu, mbona unapotosha wote tunakumbuka wakati Tume ya Uchaguzi ikimtangaza Nassari mshidi wa kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, Nassari kwa kauli yake alisema Mzee Ndensamburo, ilitoa offer nikishida ubunge atajenga visima vitatu kwa hiyo kesho tunaanza kujenga kimoja akataja sehemu nimeisahau...tatizo la wananchi wa Arumeru wanaulizia ahadi aliyoitoa Nassari ya kushusha bei ya sukari imefikia wapi?
Mimi ninaongealea kabla hawajang'atuka (GAVANA fulani) aliichoma benki ili kupoteza kumbukumbu na wakasepa na pesa na inasemekana wakaanzisha chama fulani. Sijui ni kweli?
Wanabodi.
Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.
Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.
wanachi wa Arumeru wamemwani ndiyo maana wakamchagua wewe hata ukipiga kelele mpaka uzimbi masaburi wana arumeru ahata badilisha mawazo sisi tujadili ahadi za mbayuwayu ndiyo zinazotuhusu maana ni za kitaifa....Visima vimechimbwa, Mashamba yatarudishwa, ushuru wa kijinga pale tengeru zitakoma......awa alitoa ahadi awe ndesa, awe lowasa awe kichwa nazi
Usiseme wananchi sema wewe pekee yako. Sisi bado tunamatumaini na CCM sio CHADEMA. Nasikia kunaviongozi wa chadema walishawahi kuchoma Benk kuu. Hivi ni kweli?
Kweli akili yako mbovu, unakataa nini na unafanya nini?Usiseme wananchi sema wewe pekee yako. Sisi bado tunamatumaini na CCM sio CHADEMA. Nasikia kunaviongozi wa chadema walishawahi kuchoma Benk kuu. Hivi ni kweli?
Jamani toeni majibu vipi ahadi za wananchi? au ndio kusema kuwandanganya wananchi kwa sababu wanashida?
Kwani bei ya sukari Arumeru mashariki kwa sasa ni shilingi ngapi?Hii ya Sukari ndio ilikuwa ya kwanza.
Jamani toeni majibu vipi ahadi za wananchi? au ndio kusema kuwandanganya wananchi kwa sababu wanashida?
Mkuu ritz, wewe na CHADEMA tu! naomba unieleze kwani wewe ndie msemaji wa wananchi wapiga kura wa Arumeru?ulikutana nao lini wakakupa jukumu hilo?Au ni ule ugonjwa wako wa kila siku wa kujikomba kwa watawala bado unakusumbua?Mbona hizi ni propaganda za kitoto kupita kiasi mpaka unajidharirisha! kwani kazi za mbunge ni kupanga bei ya bidhaa? rudi shule jamaa yangu la si hivyo utaendelea kujifedhehesha.Mkuu, mbona unapotosha wote tunakumbuka wakati Tume ya Uchaguzi ikimtangaza Nassari mshidi wa kiti cha ubunge Arumeru Mashariki, Nassari kwa kauli yake alisema Mzee Ndensamburo, ilitoa offer nikishida ubunge atajenga visima vitatu kwa hiyo kesho tunaanza kujenga kimoja akataja sehemu nimeisahau...tatizo la wananchi wa Arumeru wanaulizia ahadi aliyoitoa Nassari ya kushusha bei ya sukari imefikia wapi?
Wanabodi.
Habari tulizozipata kutoka kwa Wananchi wa Arumeru Mashariki, wanaomba kuuliza mbunge wao Joshua Nassari kafikia wapi kwenye ahadi yake aliyotoa wakati wa kampeni Arumeru Mashariki.
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari alitoa ahadi kwa wapiga kura wake Wananchi wa Arumeru Mashariki, kuwa wakimchagua kuwa mbunge wao Arumeru Mashariki atashusha bei ya sukari ndani ya miezi miwili.
Wananchi wapenda maendeleo Arumeru Mashariki wanahoji lini bei ya sukari itashuka kwenye jimbo lao.
Mkuu ritz, wewe na CHADEMA tu! naomba unieleze kwani wewe ndie msemaji wa wananchi wapiga kura wa Arumeru?ulikutana nao lini wakakupa jukumu hilo?Au ni ule ugonjwa wako wa kila siku wa kujikomba kwa watawala bado unakusumbua?Mbona hizi ni propaganda za kitoto kupita kiasi mpaka unajidharirisha! kwani kazi za mbunge ni kupanga bei ya bidhaa? rudi shule jamaa yangu la si hivyo utaendelea kujifedhehesha.