Wananachi wa Arumeru Mashariki wanaulizia ahadi ya Mbunge wao kushusha bei ya sukari

Aliahidi kuwa baada ya miezi miwili bei ya sukari itashuka sasa vipi. Je tuseme alidanganya wananchi?

Ushindi wa dogo janja uliwaacha nyakanyaka na mnatafuta kila njia kuonyesha kwa umma kuwa dogo haifa lakini mwenyewe wameru wanasema Nasari ndiyo chaguo lao na hawataki "Mabakasi"
Hakuna mbunge kijana aliyeweka historia ya kuanza kutekeleza ahadi kabla ya kuapishwa zaidi ya nassari alichimba visima samaria na maroroni sasa nafikiri wewe umetumwa.
 
Ahsante kwa kukubali kuwa alidangaya. Mimi nimeelewa kuwa ni muongo. Anadanganya watu ili apate kura na kula.
Nasari hajatekeleza la kushusha bei ya sukari kama unavyodai na ikumbukwe ana miezi miwili tangu awe mbunge vipi hizi ahadi za kichwa nazi wenu zitatekelewa lini...

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
Ushindi wa dogo janja uliwaacha nyakanyaka na mnatafuta kila njia kuonyesha kwa umma kuwa dogo haifa lakini mwenyewe wameru wanasema Nasari ndiyo chaguo lao na hawataki "Mabakasi"
Hakuna mbunge kijana aliyeweka historia ya kuanza kutekeleza ahadi kabla ya kuapishwa zaidi ya nassari alichimba visima samaria na maroroni sasa nafikiri wewe umetumwa.
alitangazwa kuwa ameshinda tarehe 1 na tarehe 2 akaanza kuchimba visima...harafu wana leta propaganda za kijinga.....
 
Chadema bana kwa kuwadanganya wananchi watu wakihoji ahadi zao wanaleta za CCM siasa bana.
 
alitangazwa kuwa ameshinda tarehe 1 na tarehe 2 akaanza kuchimba visima...harafu wana leta propaganda za kijinga.....

Mkuu tunakumbuka kuchimba kisima ilikuwa ahadi ya Mzee Ndesamburo, tena kwa kauli yake Nassari alisema tumepewa Offer na Mzee Ndesamburo ya kuchimba kisima...acha kupotosha.
 
alitangazwa kuwa ameshinda tarehe 1 na tarehe 2 akaanza kuchimba visima...harafu wana leta propaganda za kijinga.....

Hivi mnacho bisha nini sasa nyie? Mnamtetea muongo!!! Muongo ni muongo tu. Tena huyu anaonekana ameiva kwa uongo. Chadema bwana kwa kutetea uongo.
 
Mkuu tunakumbuka kuchimba kisima ilikuwa ahadi ya Mzee Ndesamburo, tena kwa kauli yake Nassari alisema tumepewa Offer na Mzee Ndesamburo ya kuchimba kisima...acha kupotosha.

Kwani Ndesamburo alisema atajenga visima hivyo endapo wananchi wa Arumeru tutafanyaje???wewe ndiyo unayepotosha acha ujinga maana ndesamburo alimsaidia Nassary kutekeleza ahadi hiyo kwakuwa walimchagua na ndicho alichokuwa anataka na akatekeleza.
 
Ndesamburo aliahidi visima Nasaari sukari. Je vipi mbona huelewi pointi ilivyo. hapa huyu jamaa Nasaari kadangaya au wewe unasemaje?
 
Hivi mnacho bisha nini sasa nyie? Mnamtetea muongo!!! Muongo ni muongo tu. Tena huyu anaonekana ameiva kwa uongo. Chadema bwana kwa kutetea uongo.

Kule Igunga na Uzini mliahidi mangapi na hamjatekeleza hata moja hadi mnamlaumu Nassary aliyeahidi hata mengi na akaanza kwa kutekeleza machache??? Hoja ya kupungua kwa bei ya sukari ni ya kitaifa na Chadema walifanya vile ili watu waamke na kuelewa kuwa bei ya sukari na vitu vingine inaweza kubadilika kwa kufanya mabadiliko ya uongozi utakaoweza kusimamia rasilimali za taifa hili na ndicho tulichokifanya huku Arumeru ili watu waamke na wameamka na tutayatekeleza hayo kuanzia sasa na tutakapochukua madaraka ya kuiongoza nchi hii 2015.
 
Ndesamburo aliahidi visima Nasaari sukari. Je vipi mbona huelewi pointi ilivyo. hapa huyu jamaa Nasaari kadangaya au wewe unasemaje?

Ndesamburo aliahidi kuanza kutekeleza ahadi ya Nassary ya kutatua tatizo la maji hapa Arumeru na Siyo Ndesamburo aliyekuja na ahadi hiyo moja kwa moja kana kwamba haikuwa ahadi ya Nassary hapa Arumeru. Majungu hayatawasaidia fanyeni kazi.
 
Hapa hatuongelei JK tunaongelea Nassari kudangaya watu kuwa atashusha bei ya sukari. Nasaari na JK wapi na wapi.

Tunamtaja JK kwakuwa ni mwanasiasa na aliahidi Mengi kama umeuliza na mimi nimekuuliza kuhusu ahadi za JK nijibu acha kutoa majibu mepesi.
 
Kule Igunga na Uzini mliahidi mangapi na hamjatekeleza hata moja hadi mnamlaumu Nassary aliyeahidi hata mengi na akaanza kwa kutekeleza machache??? Hoja ya kupungua kwa bei ya sukari ni ya kitaifa na Chadema walifanya vile ili watu waamke na kuelewa kuwa bei ya sukari na vitu vingine inaweza kubadilika kwa kufanya mabadiliko ya uongozi utakaoweza kusimamia rasilimali za taifa hili na ndicho tulichokifanya huku Arumeru ili watu waamke na wameamka na tutayatekeleza hayo kuanzia sasa na tutakapochukua madaraka ya kuiongoza nchi hii 2015.

Mkuu mimi huwa sibishani na watu kama nyie ambao sio waelewa. Hapa kinachoongelewa ni kuhusu "AHADI YA SUKARI HAIJATEKELEZWA" Hebu tujikite katika hili. sawa bwana?
 
Tunamtaja JK kwakuwa ni mwanasiasa na aliahidi Mengi kama umeuliza na mimi nimekuuliza kuhusu ahadi za JK nijibu acha kutoa majibu mepesi.

Hujajibu swali la kudanganya kwa Nasaari. Na tunachoongelea ni bei ya sukari iliyo ahidiwa. Kama unataka kuongelea JK post hujakatazwa lakini hapa tupate jibu lake. Kwenu wana CDM.
 
Chadema bana kwa kuwadanganya wananchi watu wakihoji ahadi zao wanaleta za CCM siasa bana.

Tukuhoji na wewe CCM hii iliyoshika dola imewezaje kutekeleza ahadi zake kama hutaleta siasa. Unajua tatizo lako hujui na hufahamu maana ya siasa za vyama vingi na hujui kutofautisha majukumu ya mbunge na serekali hili ndilo tatizo lako.
 
Mkuu mimi huwa sibishani na watu kama nyie ambao sio waelewa. Hapa kinachoongelewa ni kuhusu "AHADI YA SUKARI HAIJATEKELEZWA" Hebu tujikite katika hili. sawa bwana?

Jibu ni hivi nasari atalipeleka bungeni lijadiliwe maana ndiyo kazi ya mbunge na ndicho tulicho mtuma over.
 
Mimi yangu macho nasubili ile mibarabara ya angani aliyotuahidi Mkwele. Hapo chini Serikali ya Kenya inatimiza ahadi kwa vitendo jijini Nairobi.

View attachment 56466

Tatizo kijana wangu hawa CCM hawataki kuulizwa haya japokuwa wameshika dola. Teh'teh kazi yao majungu kwa wapinzani ambao wanajitahidi kutetea maslahi ya wengi hata hao wanaowapinga.
 
Hivi mnacho bisha nini sasa nyie? Mnamtetea muongo!!! Muongo ni muongo tu. Tena huyu anaonekana ameiva kwa uongo. Chadema bwana kwa kutetea uongo.
wanachi wa Arumeru wamemwani ndiyo maana wakamchagua wewe hata ukipiga kelele mpaka uzimbi masaburi wana arumeru ahata badilisha mawazo sisi tujadili ahadi za mbayuwayu ndiyo zinazotuhusu maana ni za kitaifa....Visima vimechimbwa, Mashamba yatarudishwa, ushuru wa kijinga pale tengeru zitakoma......awa alitoa ahadi awe ndesa, awe lowasa awe kichwa nazi
 
Back
Top Bottom