Wanamuita huko kwao kiboko ya machogo

Wanamuita huko kwao kiboko ya machogo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Machogo ndiyo wabara! Yaani mauaji ya ndugu zetu kwao ni michambo! Mbaya sana hii. Piganieni haki acheni uchawa
 
Mimi naona amekuwa kiboko ya machogo wale tu walio kubali kumtumikia, kumtii na pia kumnyenyekea. Ila kwa sisi machogo wengine tunaojitambua, aisee haitokuja itokee kuwa kiboko wa watu wenye flat screen kwenye vichwa vyao.
 
Eti tumekuwa koloni la chogoless

Afu tunauzwa na machogo wenzetu

Hii imenikumbusha wakat wa wafalme na wakoloni
 
Bibi wa Kizimkazi anataka kuwauza Watanganyika uarabuni kama bandari ya Dar 😂🤣
 
Back
Top Bottom