Wanamuita Cannavaro..............mtu na mtu!

Wanamuita Cannavaro..............mtu na mtu!

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2007
Posts
337
Reaction score
242
..Sikuwepo uwanjani lakini taarifa za vyombo vy habari zinaeleza kuwa Sunzu alikuwa mchumba kwa kwa Nadir Haroub. waliokuwepo uwanjani hebu tupeni story......
 
Attachments

  • YANGAVSSIMBAOCT20115.jpg
    YANGAVSSIMBAOCT20115.jpg
    63.5 KB · Views: 157
  • YANGAVSSIMBAOCT201114.jpg
    YANGAVSSIMBAOCT201114.jpg
    52.6 KB · Views: 137
  • YANGAVSSIMBAOCT201115.jpg
    YANGAVSSIMBAOCT201115.jpg
    77.6 KB · Views: 131
mimi pia sikuwepo. tusubiri wliokwenda watupe habari kamili.
 
simba wote walikuwa wachumba tu yaani hawakulala na ch.... ila sisi tukawa wavivu tukagonga moja tu!!!
 
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!
 
lazima utakuwa imba tu we huna jpya mtafute sunzu uone yu wapi? kama c kwapani kwani nemanja anachezaje acha hizo bana
 
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!

..Braza ingekuwa zamani zile za kwenda kuangalia TV kwa jirani unetupiga fiksi...siajona bekai wa kati (central defender) anayeanzisha mashamabulizi. sio nemanja Vidic, Per Metsacker, John terry, William Gallas nk
 
mtu anaeujua mpira hawezi kuzungumzia mpira anaocheza Nadiri,kwani ni mpira wa kizamani sana enzi za mababu zetu,mpira ni professional kama professional zingine ex,sheria na zinginezo huwezi kubutua butua kama anavyofanya ukapata timu nje ya nchi tutaendelea kushangilia nje ya nchi kwetu bado sana na wanaosababisha ni watu kushangilia vitu ambavyo havina maana
 
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!

Ni dhahiri kwamba wewe ni moja ya waadhirika wa matokeo ya mechi hiyo. Kazi ya beki ni kulinda goli ikiwa pamoja na kumthibiti yeyote atakaye jipendekeza golini kwako. Cannavaro kafanya kazi nzuri na iliyotukuka
 
Simba lipakatwa siku hiyo,ilikuwa hatari,kuna mtu anaitwa Niyonzima(Fabregas) anatisha,alifunika mbaya pale katikati>
 
huyu jamaa bado ana ule mpira wa kizamani sana " beki hasifiwi" kazi yake ni kubutua tu, hajui siku hizi mashambulizi huwa yanzaanzishwa na mabeki.!

ulichosema ni kweli,canada ndicho kilichomshinda,sasa hivi hutakiwi kuwa too machanical.
 
Kwakweli kwe chandimu sina comments, samahani wakuu matokeo ilikuwa ni ngapi ngapi?
 
Back
Top Bottom