Ccm yote shida ukiwemo wewe,lakini ninavuojua wtu Wa ukanda Wa pwani na akili Yao ya kuoa watoto wenye umri Wa miaka 8 kama Masai ni shida nchi hii !
Mtwara ya leo siyo ya jana mkuu,ccm kwa mtwara ishaaga kitambo na wao wanalijua vizuri sana.
Washauri wabadilike waichague UKAWA.
Hayo angesema FaizaFoxy angeambiwa "mdini" analeta "udini".
Hayo angesema FaizaFoxy angeambiwa "mdini" analeta "udini".
wewe kikongwe mdini sana,angalia usije ukajiunga boko haram
Mada umeiona lakini kwenye post namba moja? au wewe umeniona mimi tu?