miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Fanya tuonane basi! Afu nnaskukuu yako ujue!!!
Kakariri huyo!
Muandalie chai ya maziwa anywe! Skukuu watu hawafungagi!
Njoo piemo tuongee vizuri. Sawa mtoto mzuri?
Mkuu hayo makitu kibongo bongo ni hoteli (kubwa) tu!
Wako na watu wachache wanaoweza kutengeneza hasa waliosomea upishi!
Jerry inaelekea unapenda sana hayo makitu. Arent you?
Vipimo tafadhari for a perfect fit. ..we don't do trial and error. ...
Hii dini yenu imejaa ubabaishaji mnatuchanganya tu.
Check n balance......nahitaji suruali ya jeans kiuno 30,hips 47.
Check n balance......nahitaji suruali ya jeans kiuno 30,hips 47.
Wakuu msinichanganye mbona nipo kazini na saumu yangu? au nyie ni wale tunaopishana siku tusibadilishane imani. mimi na sali Eid na BKT kwani tangazo limetoka saa ngapi maana mwezi sikuuona na nimepiga simu mikoani nikaambiwa hawajauona. nasikia Saudia wanasali kesho. Mkuu umetumia kigezo kipi. HATA HIVYO EID NJEMA.
Majanga ya nini tena Bull.d?
Mtende sjakusouma ujue! Embo nyoosha maelezo!