Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,260
Reaction score
40,441
Wanamgambo wa Israel wamejikuta ndani ya mzingiro mkubwa wa moto huku wakitoa kilio cha hofu ya kuteketezwa na kubaki majivu.

🚨 BREAKING:
Fires are advancing and reportedly surrounding Israeli occupation forces inside their military bases.

Wambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.
 
We toka mwaka jana mnatuambia Gaza imekwisha kwani vita nikupiga majumba 😆 😂 We huoni kichapo anacho pokea Israel kule Gaza au we huwa unaona habari gani

Hahaha wanahangaika na Gaza eneo dogo kama Wilaya ya Chemba ngoja wateketee na moto

JUST IN:

🇮🇱 Map of multiple fires across Israel

The fire map shows something unusual, while Israel has 29 active wildfires, there are zero in Palestine.

It seems the Palestinians don't have American bombs, but they found another way to resist.
 
Attachments

  • IMG_20250430_215825.jpg
    IMG_20250430_215825.jpg
    152.3 KB · Views: 20
  • IMG_20250430_215721.jpg
    IMG_20250430_215721.jpg
    145 KB · Views: 17
Wambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.
Wale vijana waliochoma huo moto kumbe walikuwa maallah? Kwa taarifa yenu wamekamatwa wote!!
 
We toka mwaka jana mnatuambia Gaza imekwisha kwani vita nikupiga majumba 😆 😂 We huoni kichapo anacho pokea Israel kule Gaza au we huwa unaona habari gani
Ni kweli ninaona kichapo kutoka mbinguni magaidi wa Kipalestina leo wanalala nje kabisa na bahati sasa hivi kuna mvua kubwa inanyesha huku Israel mpaka huko Gaza.
Kwa Israel mvua inazima mioto yote iliyoanzishwa na magaidi wa kipalestina.
Kwa Gaza jioni Mahema yote yamefumliwa na usiku huu mvua zinanyesha kwa nguvu sana na zina radi kuonyesha chuki kwa magaidi!!!
 
Attachments

  • telegram-cloud-document-4-5805538273602312847.mp4
    3.1 MB
Wale vijana waliochoma huo moto kumbe walikuwa maallah? Kwa taarifa yenu wamekamatwa wote!!
Sawa watawakamata wangapi hivi we unadhani hata kwenda haja ndogo na kubwa Allah akitaka usiende utakwenda subutu. We kama unajidai endelea tu ku mkejeli Allah kuna siku utagundua Allah sio wa kufanyiwa utani.
 
Ni kweli ninaona kichapo kutoka mbinguni magaidi wa Kipalestina leo wanalala nje kabisa na bahati sasa hivi kuna mvua kubwa inanyesha huku Israel mpaka huko Gaza.
Kwa Israel mvua inazima mioto yote iliyoanzishwa na magaidi wa kipalestina.
Kwa Gaza jioni Mahema yote yamefumliwa na usiku huu mvua zinanyesha kwa nguvu sana na zina radi kuonyesha chuki kwa magaidi!!!
Haha kumbe Mungu analipenda taifa teule sio, sawa wejidanganye tu. Mvua izime moto hahaha we hujui badhi ya mvua hua ni petrol
 
Sawa watawakamata wangapi hivi we unadhani hata kwenda haja ndogo na kubwa Allah akitaka usiende utakwenda subutu. We kama unajidai endelea tu ku mkejeli Allah kuna siku utagundua Allah sio wa kufanyiwa utani.
Jamaa huyo mnamuogopa nyinyi tu!! Mimi niliyenaye ni Mkuu kuliko yeye!!! Wewe endelea kubwabwaja tu na habari zenu za uongo uongo!!
 
Haha kumbe Mungu analipenda taifa teule sio, sawa wejidanganye tu. Mvua izime moto hahaha we hujui badhi ya mvua hua ni petrol
Gaza sasa hivi kuna mvua kubwa sana inawanyea na maturubai yameenda na upepo jioni na usiku mvua zimękuja kwa kasi sana kują kuzima mioto na kuwatia adabu magaidi wa kipalestina!!!
 
Gaza sasa hivi kuna mvua kubwa sana inawanyea na maturubai yameenda na upepo jioni na usiku mvua zimękuja kwa kasi sana kują kuzima mioto na kuwatia adabu magaidi wa kipalestina!!!
Hizo ni ndoto yani Mungu anawachukia wapalestina sio 😄 🤣 Watu wakanisani kapimeni akili zenu vizuri 1=3
 
Wambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.
Sasa Allah kafanya nini hapo. Nani kafa au huko Gaza kipondo kimeisha au? Mzee we ombea vita iishe hapo Gaza kila siku watu hawajui hatima yao
 
Wale vijana waliochoma huo moto kumbe walikuwa maallah? Kwa taarifa yenu wamekamatwa wote! Msingi mi na wewe tuombeee huo moto usizime uendelee kuteketezwa miji ya Israel
Cha Msingi ni wewe kupigq goti nakumuomba Mungu huo moto usizimike uendelee kuichoma miji ya Israel
 
Attachments

  • IMG_20250430_200016.jpg
    IMG_20250430_200016.jpg
    110.2 KB · Views: 19
Hizo ni ndoto yani Mungu anawachukia wapalestina sio 😄 🤣 Watu wakanisani kapimeni akili zenu vizuri 1=3
Labda wewe nisaidie jioni ya saa 10 upepo Ulivuma ukaharibu karibu Mahema yote Gaza na watu wakakosa sehem za kulala harafu saa 3 usiku ikamwagika mvua kubwa iliyoambatana na radi hadi saa hizi saa 4 usiku mvua bado zinatandika tu je huyo ni nani?

Ukumbuke pia kuwa vijana wa kiarabu walipoona upepo mbali umeanza wakahamasishana kuchoma misitu na maeneo mbalimbali ya starehe na mpaka sasa vijana 100 walishatiwa nguvuni je huoni kuwa huyo ni Mungu wa Ibrahim na Yakobo anatenda kazi yake kuwaadhibu magaidi?
 
Sasa Allah kafanya nini hapo. Nani kafa au huko Gaza kipondo kimeisha au? Mzee we ombea vita iishe hapo Gaza kila siku watu hawajui hatima yao
Hakuna haja ya kuombea vita iishe vibaka hao waliambiwa wazi wawaachie mateka na vita inaisha siku hiyo hiyo lakini mpaka sasa bado wameshupaza fuvu acha wabondwe tu mpaka akili zikiwarudia mateka watawaachia la sivyo wafutwe tu wote maana wote ni magaidi wanahifadhi mateka kwenye nyumba zao na wanahifadhi na maiti kwenye nyumba zao. Kwa hiyo acha tu wapigweeeee!!
 
Unatudangabya mvua imenyesha eri moto umezimika 😂😂😂😂
⚡️What sparked the wildfires in Israel?

Israelis and Zionists claim that Palestinians are behind the fires in Jerusalem and across Israel. However, the reality is simple, as shown by today’s fire map of the entire region:

1. The extreme weather conditions.
2. The highly flammable European pine trees—non-native species that Israel planted extensively.

European pine trees—especially the Aleppo pine (Pinus halepensis)—are widely planted in Israel and are a major component of many of the forests.

➤ Aleppo pine is the most common tree in Israeli forests, heavily planted by the Jewish National Fund (JNF) since the early 20th century for reforestation.
➤ These pines are not native to most parts of Israel and were introduced on a large scale, often replacing native Mediterranean oak and maquis ecosystems.
➤ They are highly flammable, with resinous wood and dense needle litter, making them a major wildfire hazard, especially in hot, dry, and windy conditions.
➤ Forests like those in Jerusalem Hills, Mount Carmel, and Ben Shemen contain large stands of Aleppo pine, many of which have suffered repeated wildfire damage.

The elevated fire risk in Israel today, April 30, 2025, is due to a combination of extreme weather conditions:

➤ High temperatures: Temperatures have soared to between 36°C and 39°C (97°F to 102°F) in central and southern Israel, including the Shfela region and the Negev.

➤ Strong winds: Gusty winds are rapidly spreading fires, complicating containment efforts.

➤ Low humidity: Dry air increases flammability, making vegetation more susceptible to ignition.

These factors have led to massive wildfires near Jerusalem, prompting evacuations and a national emergency declaration.
 
Back
Top Bottom