Wanameremeta wanameremeta......

Hapa kuna mambo mbili:
1. Mwanaume ametumia mda mwingi kutafuta pesa na sasa akaamua amuoe mwanamke yoyote anayekidhi vigezo vyake akiamini ni mtu mwenye pesa lazima ampate.
2.mwanamke ameamua aolewe na mtu aliyemzidi umri akiamini atakuwa amepunguza mambo yake yooote ya ujanani hivyo atakuwa mume bora na asiye na michepuko ya kupeana karaha kutokana na vijana wwngi kufanya ndoa kama showoff.

Watu wengi wanasema dada kafata pesa ukiangalia kwa umakini inawezekana mwanamke ndo akawa na pesa kuliko hata huyo mwanaume...coz ngozi ya bqanaharusi ni ngozi isiyo na matunzo kabisaaa kama ya bibiarusi ilivyo,
Kwa mtu mwenye pesa c rahisi kuvaa suti mbaya hivyo cku ya harusi yake lazima angechukua kitu cha hadhi yake kutokana na marafiki alionao hata wangemshauri.
Lakn siku ya sendoff ndo akapendeza na hii aliifanya ili kuwaaminisha upande wa mwanamke kwamba zipo.
 
Hizi picha nmekula nikiziona Fb ..watu wote wanao comment wanacoment negatives tu..hivi huyo Bonge hana haki ya kupendwa kama watu wengine!!?love doesn't ask why bhana mwacheni Bonge wa watu ajilie..
 
Sijapenda kufatilia maisha ya watu.. Nilikuaga najiuliza kwenye nyimbo za bongo wanasemaga #wanga# watasema sana..

Huu ndio wanga wenyewe kwakweli.. hahahahahhh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…