Wanamapinduzi Simba wabanwa!!!

Wanamapinduzi Simba wabanwa!!!

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,571
Reaction score
2,192
Baraza la wadhamini wa klabu hiyo halitambui uamuzi huo wa kina mzee Kinesi!!Kumtimua Rage!
 
Hilo Baraza la wadhamini linafaata katiba gani??kama ni katiba hile hiliyoo simba wao kama wao hawana mamlaka ya kupinga chochote kilichoamliwa na kamati kuu!!
 
Hilo Baraza la wadhamini linafaata katiba gani??kama ni katiba hile hiliyoo simba wao kama wao hawana mamlaka ya kupinga chochote kilichoamliwa na kamati kuu!!

Mapinduzi hoyeee!Hongera mzee kinesi kwa Mapinduzi hayo

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Mamlaka ya kamati ya utendaji ya Simba ipo kwenye ibara ya 30 ya katiba yetu.Inaeleza kazi mbalimbali ya kamati ya utendaji.ukienda mpaka ibara ya 30(m) inasema kutoa adhabu,lakini unatoa adhabu kwa nani?Ibara ya 33 inasema kutakuwa na mwenyekiti na makamu mwenyekiti waliochaguliwa na mkutano mkuu.Nafasi ya kaimu mwenyekiti haipo,Ikitokea nafasi yoyote ipo wazi inatakiwa ijazwe ndani ya siku 90.hakuna kaimu makamu mwenyekiti!
Mapungufu ni makubwa warudi tena wajipange. hamisi-kilomoni.jpg
 
Hilo Baraza la wadhamini linafaata katiba gani??kama ni katiba hile hiliyoo simba wao kama wao hawana mamlaka ya kupinga chochote kilichoamliwa na kamati kuu!!

Mkuu baraza la wadhamini, ndiyo wamiliki wa taasisi. Msajili anawatambua wao si kamati kuu. Hao wakikataa hakuna ngoma yoyote itakayolia.
 
Kwa hiyo Kamati kuu ya Simba ilipitisha maamuzi sahihi katika kikao chake cha "Kitchen Party"?
 
Ngoja RAGE arudi safarini ndo mtajua kama simba ni mali yake au mali yenu.
 
Tatizo ni viongozi wengi tunaowachagua huwa hawtumii muda wao kusoma katiba zinazowaongoza na hapo ndio Ismael Aden Rage anapozidi ujanja.
 
Mzee Kilomoni ambaye yumo kwenye baraza la wadhamini, enzi zake amewai kuichezea Simba kwa mafanikio na pia kuwa kiongozi alizidi kushangaa uamuzi huo wa kina mzee Kinesi! Na kutanabaisha kuwa wanasubiri kwa hamu maamuzi ya kamati ili na wao wapitishe PANGA lao kama baraza!!
 
nafasi inatakiwa ijazwe ndani ya siku 90 hakuna kukaimu toka Kaburu amejiuzuru zimeshapita siku ngapi hiyo moja kwa moja inaonyesha rage amevunja katiba na adhabu ya kuvunja katiba inaeleweka
 
Back
Top Bottom