LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,886
- 41,447
Mabadiliko tunayoyaona Duniani ni mkusanyiko w maarifa, ujuzi,ubunifu na uvumbuzi,vitu vinachangia watu kuwa na nguvu za kuunda na kubuni vitu,huduma na teknolojia.Je wanafunzi ''WANAOFELI''mitihani yao ya mwisho wanakwenda wapi na hayo MAARIFA?