M Mwanasayansi Kalivubha JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 466 Reaction score 1,209 Oct 4, 2026 #1 #.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu watakuchukia. #Mwanasayansi Saul kalivubha #Malenga wa Kiha.
#.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu watakuchukia. #Mwanasayansi Saul kalivubha #Malenga wa Kiha.
BICHWA KOMWE - JF-Expert Member Joined Jul 21, 2022 Posts 9,289 Reaction score 23,383 Oct 4, 2026 #2 Ukikubali kulinda mgongo UNABAKWA. Bora tusilinde migongo tu kwa kweli.
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 1,874 Reaction score 3,388 Oct 4, 2026 #3 Duh... aisee kila jambo kwa kiasi.
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 1,874 Reaction score 3,388 Oct 4, 2026 #4 BICHWA KOMWE - said: Ukikubali kulinda mgongo UNABAKWA. Bora tusilinde migongo tu kwa kweli. Click to expand... Duh..... The LORD is my shepherd! habakwi mtu hapa...
BICHWA KOMWE - said: Ukikubali kulinda mgongo UNABAKWA. Bora tusilinde migongo tu kwa kweli. Click to expand... Duh..... The LORD is my shepherd! habakwi mtu hapa...
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,406 Reaction score 2,698 Oct 4, 2026 #5 Na ukiitwa wew ni wakawaida ujue wew ni wa hovyo ukiitwa majina mazuri mazuri wewe ni dhaifu huna maajabu.
Na ukiitwa wew ni wakawaida ujue wew ni wa hovyo ukiitwa majina mazuri mazuri wewe ni dhaifu huna maajabu.
Miguel Felix Gallardo JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,698 Reaction score 4,958 Oct 4, 2026 #6 Mwanasayansi Kalivubha said: #.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu watakuchukia. #Mwanasayansi Saul kalivubha #Malenga wa Kiha. Click to expand... π
Mwanasayansi Kalivubha said: #.Ukikubali kila kitu unaitwa mpole. #.Ukikubali kutumwa kila saa unaitwa mnyenyekevu. #.Ukikubali kulipwa kidogo unaitwa mvumilivu. Kumbe wanakufurahia na kukuita majina mazuri kwa sababu huna msimamo. Anayependwa na kila mtu hana msimamo kwani Mwenye msimamo lazima kuna watu watakuchukia. #Mwanasayansi Saul kalivubha #Malenga wa Kiha. Click to expand... π
A man from Island JF-Expert Member Joined Aug 13, 2020 Posts 577 Reaction score 1,345 Oct 4, 2026 #7 Uzuri katka maisha yangu huwa sipend kudharauliwa, fanya yote ila usiniletee dharau! Pesa ni zako, mim hazinisaidii, nidharau ila usinifanyie kitendo cha kunionyeshea kunidharau, nitajitoa kafara kwaajiri yako! Asanten!
Uzuri katka maisha yangu huwa sipend kudharauliwa, fanya yote ila usiniletee dharau! Pesa ni zako, mim hazinisaidii, nidharau ila usinifanyie kitendo cha kunionyeshea kunidharau, nitajitoa kafara kwaajiri yako! Asanten!
M Mr Gerome JF-Expert Member Joined Dec 6, 2019 Posts 645 Reaction score 869 Oct 4, 2026 #8 Kila kitu kifanywe kwa kiasi!
M Mwanasayansi Kalivubha JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 466 Reaction score 1,209 Oct 4, 2026 Thread starter #9 Matunzo 02 said: Na ukiitwa wew ni wakawaida ujue wew ni wa hovyo ukiitwa majina mazuri mazuri wewe ni dhaifu huna maajabu. Click to expand... Hahaha π
Matunzo 02 said: Na ukiitwa wew ni wakawaida ujue wew ni wa hovyo ukiitwa majina mazuri mazuri wewe ni dhaifu huna maajabu. Click to expand... Hahaha π
M Mwanasayansi Kalivubha JF-Expert Member Joined Feb 4, 2024 Posts 466 Reaction score 1,209 Oct 4, 2026 Thread starter #10 Mr Gerome said: Kila kitu kifanywe kwa kiasi! Click to expand... Naam
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,398 Reaction score 54,816 Oct 4, 2026 #11 Sawa