Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
Habari zenu wadau!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo hii wanakijiji wa hapa Nyamongo waandamana hadi kituo cha polisi baada ya mtuhumiwa anayesadikiwa kuuwa watu wa nne jana kwa risasi eneo hili la kijiji bila sababu yoyote ile, wanakijiji hao hawakufanikiwa hata kumuona mtuhumiwa huyo baada ya polisi kutumia nguvu ya ziada kuwatawanya wanakijiji hao.
Hali ilivyokuwa jana: Jamaa hao wanatembea na bunduki mida ya usiku na wakikutana na mtu yoyote yule ni halali yao, Jana wamepiga risasi mwanafunzi wa form three na wengine watatu na kufariki papo hapo.
Ombi langu: Serikali na polisi wetu tunawaamini sana mtashughulikia hilo liweze pita kabisa.