Habari wanajf.
Nilitoa thread humu ya kumtafuta mke mwema na rafiki yangu mpendwa.
Ninachoshangaa zaidi,wengi wao ni kina dada ambao tayari washapata watoto. Pia wengi wanadai baba zao watoto waliwakataa watoto toka wakiwa tumboni (mimba) mwa mama zao.
Hofu yangu,je wanasema kweli au kutaka niingie mkenge? Je,mwanamke alozaa na mume mwingine ataniheshimu mie ambae sina mtoto wa nje?