Wanajisomea habari

Wanajisomea habari

Mbilimbi Mbovu

Senior Member
Joined
May 25, 2015
Posts
185
Reaction score
119
11144072_1229899667024449_1561646464116028753_n.png
 
Concentration yote iko kwenye magazeti ya udaku... lazima kuwe na athari za kimaadili kwa watoto kuwa exposed ktk visa na vituko hivyo ktk umri wao mdogo.
 
Habari kwny hilo gazeti linasema: diamond ampiga chini Wema, Wema apata bwana mpya....

Sasa hapo wakiingia darasani stori zote za wema na diamond tu. Enzi zetu tukiwa darasani stori ni kusimuliana hadithi tu
 
ila ianavutia coz hawata pitwa hata siasa wata z soma kwa sababu lengo lao nkusoma heading wacha washangae
 
Muuza magazetu huyu mkarimu.

Kuna wauza magazeti wengine wanoko hawakawii kuwaambia madogo mnayo pesa ya kununua gazeti?

Hebu ondokeni
 
Kwa mujibu wa michango ya wadau wa hapa, kuna haja ya kudhibiti maudhui ya habari wanazopewa vijana wetu wadogo?
 
Muuza magazetu huyu mkarimu.

Kuna wauza magazeti wengine wanoko hawakawii kuwaambia madogo mnayo pesa ya kununua gazeti?

Hebu ondokeni
Wana roho mbaya hao, ndio huwa hawaoni hatari kutongoza vitoto. Kama mtu anayima maarifa ya bure hana utu...
 
Hao watoto wamesimama hapo kwa sababu shuleni kwao hakuna maktaba ambayo ingeweza kuwa na magazeti ya maana ya kila siku na kila wiki, na kuwa na vipindi vya maktaba vya kutosha ili wajisomee.
 
Hao watoto wamesimama hapo kwa sababu shuleni kwao hakuna maktaba ambayo ingeweza kuwa na magazeti ya maana ya kila siku na kila wiki, na kuwa na vipindi vya maktaba vya kutosha ili wajisomee.
Ndio mkuu, watoto wana mizuka ya kupata habari kwa sasa... Ni fursa adimu ya kuwajaza maarifa kabla hawajaingia kwenye usasa wa smartphone na vigodoro.

Tunachezea nafasi adimu!
 
Back
Top Bottom