Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Ni PM namba yako ya simu, nikutafute hiyo kesho. Pia uchague, wapi unataka kwenda kuinjoi? Kama upo Dar lakiniWanajf/Wana-MMU.. Ninawatakia sikukuu njema ya Krismas na Mwaka mpya.
Tusisahauliane kwa vyuku na vinywaji.
Ninawapenda sana.
Akija Faizafoxy ataandika [emoji116]Shuklani sana kiongozi,karibu huku porini tujumuike pamoja
mkuu uko porini .... wapi huko?Shuklani sana kiongozi,karibu huku porini tujumuike pamoja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe joanah pia mchokoz eeeAkija Faizafoxy ataandika [emoji116]
Shuklani=shukrani
Hahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe joanah pia mchokoz eee
yawezekana mama mmoja tumbo mbalimbali [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]Hahah
Mkuu Faizafoxy sijui ana undugu na yule kifimbo cheza wa katika gazeti la sani katika wachafuzi wa lugha [emoji28] [emoji28]
Itakuwa asee [emoji23] [emoji23]yawezekana mama mmoja tumbo mbalimbali [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2]