johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Bashite alimeza hirizi, atumbuliwi yuleNimemsikia ivi RC DSM mbona hatumbuliwi?
Kwanini atumbuliwe?!Nimemsikia ivi RC DSM mbona hatumbuliwi?
Mnogage.........ndauli mdimi?!Asante muheshimiwa
Lumumba fursa kila kona siyo hapo Ufipa mnagombania mishahara ya wabunge!!!........ Kazi afanye Sugu posho wagawane akina mrangi wapi na wapi?!!Unajipa kik
Huku unajipenyeza
Mwisho wa uzi wako huo ungeweka namba yko ya Sim
Ova
Kwani Wa morogoro alitumbuliwa kwa sababu ipi? Makonda, Mkuu Wa wilaya ya ilala na kinondoni pamoja na wakurugenzi wao na ma- DSO wanatakiwa ama kuondolewa au kuhamishwa na kushushwa cheo kwa uhusika wao Wa kadhia ya coco na machinjio ya vingunguti!Kwanini atumbuliwe?!
Sawa umesikika mkuu!Kwani Wa morogoro alitumbuliwa kwa sababu ipi? Makonda, Mkuu Wa wilaya ya ilala na kinondoni pamoja na wakurugenzi wao na ma- DSO wanatakiwa ama kuondolewa au kuhamishwa na kushushwa cheo kwa uhusika wao Wa kadhia ya coco na machinjio ya vingunguti!
Awe fair kwa wote kwani Wa morogoro na wasaidizi wake na RPC wamemwagwa!
Bashite alimeza hirizi, atumbuliwi yule
Hapo ndo nawaza kwakutumia njaaKwani Wa morogoro alitumbuliwa kwa sababu ipi? Makonda, Mkuu Wa wilaya ya ilala na kinondoni pamoja na wakurugenzi wao na ma- DSO wanatakiwa ama kuondolewa au kuhamishwa na kushushwa cheo kwa uhusika wao Wa kadhia ya coco na machinjio ya vingunguti!
Awe fair kwa wote kwani Wa morogoro na wasaidizi wake na RPC wamemwagwa!
Madudu yanayotokea na rais anayasema kila siku yanatakiwa yasimamiwe na nani?Kwanini atumbuliwe?!