VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
South Africa imetangaza kuwa, kundi la kwanza la wanajeshi hao, waliokuwa DRC kwa jukumu la kupambana na M23, litawasili nchini humo tarehe 13 Juni, 2025.
Wanajeshi hao pamoja na silaha zao, walifika Tanzabia kwa nyakati tofauti kupitia Rwanda.
Wanajeshi hao pamoja na silaha zao, walifika Tanzabia kwa nyakati tofauti kupitia Rwanda.