Uliangalia habari ya jana ucku ITV?kuna FFU mmoja ana mwili hv alipewa mkono akapepesuka kurudi nyuma akakimbilia kwny gari!Jeshi litabaki kuwa jeshi tu nchi yoyote ile!sema JWTZ cku hz imeingiliwa na siasa na diplomasia imekua nyingi mno!Enzi za kina Gen Musuguri na makamanda wengine wa cku za nyuma icho kituo cha police wangehama!!
Uliangalia habari ya jana ucku ITV?kuna FFU mmoja ana mwili hv alipewa mkono akapepesuka kurudi nyuma akakimbilia kwny gari!Jeshi litabaki kuwa jeshi tu nchi yoyote ile!sema JWTZ cku hz imeingiliwa na siasa na diplomasia imekua nyingi mno!Enzi za kina Gen Musuguri na makamanda wengine wa cku za nyuma icho kituo cha police wangehama!!
unajua sifa za kuwa FFU? au unaburudisha jukwaa tu
Dah police hawapendwi kweli,hata kama ukweli ni kwamba wanajeshi ndo wamepigwa watu wataripot tofauti ili ionekane police ndo wamepigwa.Mfano kule Arusha wanajeshi waliminywa sana but waandishi wa habari wakaripot tofaut,the same to this one
Asante wajeda piga hao mbwa
nimefurahi sana hao mbwa kupokea kipigo maana wanatunyanyasa sana hasa tunapokuwa na pikipiki zetu hapa tarime.kwanza wao si trafiki lakini wanaingilia tu.mimi binafsi walishanikamata kama mara3 hivi bila hatia yoyote.wanakilimbikizia makosa hata ambayo huna.na ili wakuachie lazima utoe pesa si chini ya 50000.nawapa big up wajeda kwa kuwatembezea kipigo mbwa hawa.na ninawaomba muendelee na kipigo hiki hata mnapowakuta wakiwanyanyasa raia wema si lazima wanapoingia kwenye anga zenu tu.viva wajeda
Mwaka 2008 pale Njiro Arusha polisi waliposhindwa kuwatoa majambazi waliojichimbia kwny nyumba moja ndipo wakaitwa wajeda wakawatifua mpk wakajisalimisha wenyewe!hii nilishuhudia mwenyewe!
Acha kudanganya watu polisi peke yao ndo walifanya ile ka hakuna tpdf hat mmoja aliyekuwepo tatizo lenu baya ni polisi zuri mwanajeshi
hakuna uhasama wowote kati ya wajeda na raia nimetoka ktk kikos cha jeshi kule arusha nimeona watoto wa kimasai walikuwa wanakuja kula msosi wa jion wala hawaguswi pia 2kitoka nje ya kambi raia wanakuja kuuza vitu tofaut bila hata hofu yoyote ila uhasama mkubwa upo kati ya polisi na wajeda hadi nyimbo zao wanawaponda kinoma polis
safi sana jwtz
Watanzania tuna matatizo ya hakili au cjui nisema Africa au ngozi nyeusi , kua jeshi sio maanake uvunje sheria. Wanajeshi Hawa Jwtz wanadhani kua wanaweza kuishi bila kuguswa na sheria ata kidogo huu ni umbumbumbu kabisa!