Wanajeshi ni watu wa kawaida sana , hawana exceptional skills zozote, kinachowabeba wao ni ile brand waliyojiwekea

Wanajeshi ni watu wa kawaida sana , hawana exceptional skills zozote, kinachowabeba wao ni ile brand waliyojiwekea

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,631
Penye ukweli pasemwe.

Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando ,judo, kickboxing, muay thai, jiu jitsu nk

Ile man to man huwa hawatoboi , hata tukiangalia kwa hapa Tanzania wale boxers ambao wanaonekana kama ni face of boxing kuanzia Kidunda, Galiatano , Mbonabucha nk hawana chochote cha maana walichonacho tena huyo Kidunda wanayemuaminia alipigwa kama ngoma na Asemahle mpaka leo anaogopa kupanda ulingoni akikumbuka fedheha aliyoipata.

Tukija hata michezo mingine inayohusisha sanaa ya mapigano jamaa bado ni wa kawaida kwa watu ambao wanajihusisha na sanaa hiyo hiyo, wanachojua wao ni kuonea raia tu wasio na mafunzo yoyote .

Mbali na hayo ni ile kumilikishwa kisheria kutumia silaha , kinyume na hapo hamna kitu hapo.

Watz hawanunui uoga.

Hawacheki na wasaliti wa bei nafuu
 
Penye ukweli pasemwe.

Hawa bakabaka sioni exceptional skills zozote walizonazo zaidi na zaidi kinachowabeba wao ni ule umoja waliojiwekea .

Mpaka leo hakuna martial artist yeyote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za madness zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando ,judo, kickboxing, music thai, jiu jitsu nk

Ile man to man huwa hawatoboi , hata tukiangalia kwa hapa TZ wale boxers ambao wanaonekana kama ni face of boxing kuanzia Kidunda, Galiatano , Mbonabucha nk hawana chochote cha maana walichonacho tena huyo Kidunda wanayemuaminia alipigwa kama ngoma na Asemahle mpaka leo anaogopa kupanda ulingoni akikumbuka fedheha aliyoipata.

Tukija hata michezo mingine inayohusisha sanaa ya mapigano jamaa bado ni wa kawaida kwa watu ambao wanajihusisha na sanaa hiyo hiyo, wanachojua wao ni kuonea raia tu wasio na mafunzo yoyote .

Mbali na hayo ni ile kumilikishwa kisheria kutumia silaha , kinyume na hapo hamna kitu hapo.

Wanakandwa sana huku mtaani man to man wakikutana na raia wanaocheza aina moja ya sanaa za mapigano (martial art).

Watz hawanunui uoga.

Hawacheki na wasaliti wa bei nafuu
.
Nipo hapa rongoni beach naangaliaa mechi ya simba nawacheki Kwa dharau sana
 
Wanapigika hadi na wakbaji. Wanaibiwa vizuri tu. Ila wapo ambao wako vizuri
Ambao unasema wapo vizuri ni wale ambao wanakutana na raia ambao hawana mafunzo kama wao.

Yani tuseme wanacheza karate wakakutana na raia asiye na mafunzo ndio watamuonea, ila wakikutana na raia ambaye pia ni martial artist huwa kinawaka.
 
Nmejikuta ninawachukia sana hao viumbe 1. Maccm 2. Polisi 3. Jw 4. TISS hawa ndo maadui 4 wakubwa wa taifa la TANGANYIKA ndcho chanzo ujinga, maradhi na umaskini.
Kikubwa wasidandie gari kwa mbele, maana hata 29 October hawakuombwa ni wao wenyewe walileta shobo.
 
Penye ukweli pasemwe.

Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando ,judo, kickboxing, music thai, jiu jitsu nk

Ile man to man huwa hawatoboi , hata tukiangalia kwa hapa Tanzania wale boxers ambao wanaonekana kama ni face of boxing kuanzia Kidunda, Galiatano , Mbonabucha nk hawana chochote cha maana walichonacho tena huyo Kidunda wanayemuaminia alipigwa kama ngoma na Asemahle mpaka leo anaogopa kupanda ulingoni akikumbuka fedheha aliyoipata.

Tukija hata michezo mingine inayohusisha sanaa ya mapigano jamaa bado ni wa kawaida kwa watu ambao wanajihusisha na sanaa hiyo hiyo, wanachojua wao ni kuonea raia tu wasio na mafunzo yoyote .

Mbali na hayo ni ile kumilikishwa kisheria kutumia silaha , kinyume na hapo hamna kitu hapo.

Watz hawanunui uoga.

Hawacheki na wasaliti wa bei nafuu

View: https://www.instagram.com/reel/DLxggEfocWL/?igsh=MWxqaHo4cnFoNTFldg==
 
Naona umemaindi sana tangu udhibitiwe kwenye yale maandamano uchwara ya vibaka wezi na waharibifu wa mali za watu sahivi umebakiza kelele nyuma ya keyboard.

Toka tena uone

Shwaini.
 
Back
Top Bottom