Wanajeshi na UKIMWI

Mgboss

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
497
278
Ni ukweli usiopingika kwamba kuna idadi kubwa ya wanajeshi wanaoishi na VVU chini ya jangwa la Sahara, ila ni swala linalonishangaza ni vipi wanaupata, 'sijui' Je ni sababu gani inayopelekea kuwepo kwa idadi kubwa ya waathirika jeshini? Je taratibu zinaruhusu wao kujiunga?
 
Kujiunga wap!?,weka waz ieleweke.
 
Kukaa kambini muda mrefu bila ya kuruhusiwa kuowa ni chanzo kimojawapo.
Mtu unapesa alafu unazuiwa kuwa na mke ni kasheshe.
sio sababu mana unaweza ukawa na gf wako mmoja tu mkatimiziana haja zenu mpaka hapo mtakaporuhusiwa kufunga ndoa
 
Huyo gf akusubirie tu mpaka mwezi ,miezi urudi toka kambini

Asichepuke
 
Ukitafuta watu ambao ni careless kwa afya zao bila shaka utakuta wanajeshi wanaongoza.
Ukitafuta watu wafujaji, wanaotumia bila kuangalia kesho bila shaka wanajeshi wanongoza.
Wanajeshi wengi hawabagui, mwanamke wa aina yoyote wao hubeba tu.
Mwanamke yeyote akitembea na mwanajeshi utasikia watu wanasema kashaisha huyo alitembea na mwanajeshi.

Ni ukweli usiopingika wanajeshi katika jamii ni kindi linaloongoza kwa kuwa na ngoma.
 
Ni ukweli usiopingika kwamba kuna idadi kubwa ya wanajeshi wanaoishi na VVU chini ya jangwa la Sahara, ila ni swala linalonishangaza ni vipi wanaupata, 'sijui' Je ni sababu gani inayopelekea kuwepo kwa idadi kubwa ya waathirika jeshini? Je taratibu zinaruhusu wao kujiunga?
Andiko lako lina dalili flani za hujuma na huenda ukawa umekimbiwa na mkeo au hawara naa amenasa kimahaba kwa soldier na labda ƴungekuja na tafiti rasmi sio mtizamo binafsi , kimsingi tatizo la ukimwi lipo kila sekta kama malaria au typhod, na
hamna taasisi inayojali afya kama Jeshi kutokana na majukumu wanayo ya tekeleza ndani na nje ya nchi na inaongoza kwa kuchangia damu salama we ukiambiwa unakatoe nafkiri utatoa visingizio zaidi ya mia
2d19d16122923dcab32bb4c82a51d0dd.jpg
 
Ngono zembe kwa wengi ni starehe ya gharama ndogo ambayo inamadhara makubwa. Wanajeshi walikufa sana miaka ya 90 kwa UKIMWI. Lengo la shirika la afya duniani ni kuwa watu wote waangalie afya zao, wale walioathirika waanze kutumia dawa. Kama 99% ya waathirika wakiwa kwenye dawa inaweza kuzuia maambukizi mapya na hivyo kupeleke kuutokomeza UKIMWI.
 
Ukitafuta watu ambao ni careless kwa afya zao bila shaka utakuta wanajeshi wanaongoza.
Ukitafuta watu wafujaji, wanaotumia bila kuangalia kesho bila shaka wanajeshi wanongoza.
Wanajeshi wengi hawabagui, mwanamke wa aina yoyote wao hubeba tu.
Mwanamke yeyote akitembea na mwanajeshi utasikia watu wanasema kashaisha huyo alitembea na mwanajeshi.

Ni ukweli usiopingika wanajeshi katika jamii ni kindi linaloongoza kwa kuwa na ngoma.
Kwenye sqala la afya napingana nawe au landa useme unalizumgumzia jeshi la miaka ya 70s - 80s? Swala la afya kwa mwanajeshi ndio kipengele cha kwanza na kinazingatiwa sana. Hayo mengine ni hulka za mtu tu
 
wanajeshi wanaishi kambini amapo huwepo peke yao!!! hivyo kupelekea kushare wanawake wachache kwa pamoja!!! kama kuna mwanamke au mwanaume mwathirika anaweza kutembea na hata akari 10..... pia sheria ya kuhama hama hupelekea baadhi ya wanajeshi kuacha familia sehem flan ambapo ni makazi hivyo kuhama peke yake ambapo huanza mahusiano mengine......askari wengi wa kike hawailewi hivyo huwa namahusiano na askari wa kiume zaidi ya m1 .....hivyo maambukizi ya ukimwi ni mengi
 
huzingatiwa sana wakati wa kuajiri baada ya hapo mambo huwa kawaida..... uliza waliopitia depo iwe polisi magereza au jwtz watakuambia kulivyo na ngono zembe......
 
Andiko lako lina dalili flani za hujuma na huenda ukawa umekimbiwa na mkeo au hawara naa amenasa kimahaba kwa soldier na labda ƴungekuja na tafiti rasmi sio mtizamo binafsi , kimsingi tatizo la ukimwi lipo kila sekta kama malaria au typhod, na
hamna taasisi inayojali afya kama Jeshi kutokana na majukumu wanayo ya tekeleza ndani na nje ya nchi na inaongoza kwa kuchangia damu salama we ukiambiwa unakatoe nafkiri utatoa visingizio zaidi ya mia
2d19d16122923dcab32bb4c82a51d0dd.jpg
Unachokataa nn wajeda wa bongo wanafanya ngono zembe sana ,wanachukua sana malaya labda sababu hawaruhusiwi kuoa mpaka miaka kadhaa ipite

Kuna mjeda huku akirudi huwa anaruka sana viwanja mara travertine ,Mara wapi na pombe kwa wingi

Hilo ni ukweli kuhusu ukimwi usikatae kutokana na aina ya maisha wanayoishi wao
 
Kwa hiyo wote wanaishi maisha ya aina hiyo moja unayoifahamu wewe
 
Back
Top Bottom