Wanajeshi hawa kweli ndo hivi?

Daa Chief umegonga mi point sana# Sema hawa raia wanapenda wapaka lipstick
 
Wow! Wanajeshi nawapenda jamani, na hizo sifa zote wanazo ndio mana nawapenda zaidi,
Yani ukiwa na mwanajeshi wahisi kabisa ni Malkia wa dunia.
mmmh kweli? ila kitu mazoea wenda ukimzoea unaona kawaida? vip dr si nae yuko poa? ukiumwa anakutibu?
 
hata mimi nawakubali sana wapo vizur wapole pia
ila wana michepuko.mingi sio siri mmoja anaeza kuwa na wanawake. hata 30 bila hata yeye kujua
 
mmmh kweli? ila kitu mazoea wenda ukimzoea unaona kawaida? vip dr si nae yuko poa? ukiumwa anakutibu?
Mwanajeshi anachukua nafasi ya Dr. Hata ukiumwa atakutibu tena huku anakubembeleza mpk wapona.
 
Wow! Wanajeshi nawapenda jamani, na hizo sifa zote wanazo ndio mana nawapenda zaidi,
Yani ukiwa na mwanajeshi wahisi kabisa ni Malkia wa dunia.
ila hutakiwi uwe mvivu utakula banzi hadi ngozi ichubuke
 
Hakuna watu wahuni na malaya kama wanajeshi....yani uko makambini ni hatari tupu waulize watoto wa jkt uko wanavyokiwa dudu...uko vitani ndo balaa kazi kubwa ni kubaka watoto na wamama.
 
Hakuna watu wa hovyo kama hawa...ukimpata demu askari ujue huyo ataliwa na askari wenzie hadi noma. Mimi binti yangu sitaki aoleww na askari au kijana wangu aoe askari, huku makambini tunawaona, ulevi, umalaya, tena mazoezi yao yanawafanya kuwa na nyege sana.
 
Watu wa hovyo sana hao, akili ndogo... Nguvu nyingi
 
Hakuna watu wa hovyo ka hawa wajeda ingawaje nna ndugu zangu huko ila ukweli usemwe
 
Ongeza na hii
11.Wanapenda sana sketi
 
Sina uhakika na statement hii wakuu-afadhali nimeishia njiani kusoma maana maandishi ni marefu mno aisee.......
 
Wow! Wanajeshi nawapenda jamani, na hizo sifa zote wanazo ndio mana nawapenda zaidi,
Yani ukiwa na mwanajeshi wahisi kabisa ni Malkia wa dunia.
Njoo unisalimie kidogo basi nikuonyeshe namna ya kuruka kikwazo fulani hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…