Du,yaani wewe umemaliza Form form mwaka huu na umechoka kukaa nyumbani muda mfupi namna hii?
Anyway,wapo wataokuja kukushauri Zaidi.
Ila mie nakushauri tafuta Kozi yoyote ya ujuzi ili uwe na ujuzi kichwani.
Fuatilia Kozi za VETA zitakusaidia na kukupa msingi mzuri.
Umri wako na kazi ya ajira naona kama unaingia shimoni mapema.