P Phillipe Coutinho Member Joined Mar 7, 2018 Posts 20 Reaction score 25 Sep 22, 2018 #1 Naomba kujua ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations hasa fabrication za mashine mbalimbali zinazohusiana na kilimo na mifugo?
Naomba kujua ni chuo gani ama mahali gani nitapata kozi za muda mfupi kujifunza innovations hasa fabrication za mashine mbalimbali zinazohusiana na kilimo na mifugo?
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,290 Reaction score 5,526 Sep 22, 2018 #2 Kuna veta mpanda (katavi) ina kozi inaitwa AGRI-MECHANICS unasoma kwa muda wa miezi 6. pitia web yao uone ada haifiki hata 300K.
Kuna veta mpanda (katavi) ina kozi inaitwa AGRI-MECHANICS unasoma kwa muda wa miezi 6. pitia web yao uone ada haifiki hata 300K.