mamba1
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 470
- 247
Nimeangalia taarifa habari saa 2 ITV .Nimemuona mama mmoja akilalamika kwamba mwanawe amekosa mkopo wa kuendelea na masomo ya elimu ya juu ingawa alichagua kozi ya kipaumbele yaani ualim wa sayansi. Na kuna mwanafunzi kadiriki kusema wananchi waunde kamati ambayo itawezesha wananchi kuchangia ili wasaidiwe.
MY TAKE: Mimi mwenyewe ni mhanga katika hili nilichaguliwa kozi ya kipaumbele lkn mpaka sasa hv nill. Pia hiz kamati ni mbaya sana kwani zitachangisha na kuingia na pesa za michango yote mitini kama ilivyotokea kwenye kamati ya maafa kagera.