WanaJamiiForums nakuja kwenu kukiri maisha ni magumu, naomba mnisaidie nipate kazi

Shule gani iyo nami nimpeleke mwanangu akajifunze elimu nyingine zaidi ya kukariri mtaala wa serikali
 
Jaribu kwenda jijini Dodoma kuna fursa nyingi sana za Ujenzi na biashara nyingine pia
 
daa shida unataka kazi ya ajira, ingekuwa biashara kwa mtaji wa 50000, ungetosha mjini kupata ridhiki.
 
Don't expect too much too soon brother

Ukiona umechoka na una uwezo wa kupumzika, fanya hivyo ili baadae uje uendelee na hustles

Amini I can feel your state of mind mzee,

ila amini pia mchawi ni muda tu, ukifika umefika maana wanasema haijalishi usiku wako ni mrefu kiasi gani ila asubuhi ijapo KUTAPAMBAZUKA.
 
Eyce una umri gani??
Sorry for asking you this question

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…