Umesahau episodes mbili bombaGOT ni level ingine kabisa Kila itakapofananishwa nitasimama kuisemea
Imagine scene kama Ile pale Tyrion anamuaga Varys ili aliwe na Dragon "Was me"
Imagine John ana mstudy Queen na kujua wakati gani amfanyie execution
Battle of the bastards
Battle of black water
Battle of queens
Poet ya Euron aliyemtongoza Cercei mbele ya Jermie Lannister the kingslayer 🙌🙌🙌🙌
Mfumo nilitumia kuangalia haujaainisha kujua hayo hata hizo battle ni vile zilikuwa zinatamkwa na wahusika ndio nikazijuaUmesahau episodes mbili bomba
Hardhome na Spoils of Wars
Kuna kamove kanaitwa dune hapo kwenye screenshot yako, wamekasifia sana huko netflix ila mi sijakaaminia kabisa yaniNgoja nikadownload nitest maana naona 1337X wamekaweka kwenye top 100 torView attachment 2972135rents
Shogunate era, Emperial Japan (Dai Nippon Teikoku)Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali Writing, Cinematography, Culture depiction na Acting ni ya hali ya juu. Yaani ukikaangali haka kaseries hadi unajihisi umekua Mjapan. Sasa hivi najiita Da'Vinci-sama😎
View attachment 2972102
Btw mm kama mpenzi wa GOT nimetazama hii series zaidi ya mara mia... Ukweli haina hadhi ya kufananishwa wala kuisogelea Game of thrones. Sema FX wajanja wametumia mbinu ya kuifananisha na GOT ili kupata attention ya watu. Mm mwenyewe walinipata kwa namna hii.. Maana niliona wanasema wanataka kuachia series yenye kuzidi ubora GOT.
View attachment 2972104
Kwa muono wangu series ni nzuri ila haijafika level za GOT.
Je kwa mlioitazama hii series mna maoni gani??
View attachment 2972105
Utaipenda kanavutia sana hasa ukiwa unamsikiliza lady Mariko sama akiongea kijapan. Ila bado haijafika level ya GOTNgoja nikadownload nitest maana naona 1337X wamekaweka kwenye top 100 torView attachment 2972135rents
Kako je? Umeona part zote mbili?Kuna kamove kanaitwa dune hapo kwenye screenshot yako, wamekasifia sana huko netflix ila mi sijakaaminia kabisa yani
Nimedownload zote ninazo mpka sasa,,,, ila ile part one nilicheki kama nusu saa nikazima mpaka leo sijaangalia tena🙁Kako je? Umeona part zote mbili?
Ngoja nipakue part 1. Vipi fallout umeicheki?Nimedownload zote ninazo mpka sasa,,,, ila ile part one nilicheki kama nusu saa nikazima mpaka leo sijaangalia tena🙁
Glad you asked coz You kno wI like to explain😎😎Mfumo nilitumia kuangalia haujaainisha kujua hayo hata hizo battle ni vile zilikuwa zinatamkwa na wahusika ndio nikazijua
Hardhome na Spoil wars zilikuwa zipi!?
Dune ninayo ila muda sasa wa kuangalia ndo kisanga. I miss those day nilikua naangalia season zote kwa siku moja.Kuna kamove kanaitwa dune hapo kwenye screenshot yako, wamekasifia sana huko netflix ila mi sijakaaminia kabisa yani
Ingia hapaNaipataje hii shogun wazee
mi nimejaribu kuiangalia kidogo hyo part one, haikunivutia kiviiilee,,,,,labda sababu nilikua na uchovu kidogo.....wacha nijaribu tena.Dune ninayo ila muda sasa wa kuangalia ndo kisanga. I miss those day nilikua naangalia season zote kwa siku moja.
Naivutia kasi niangalie Dune maana naona ndio highest grossed film of 2024