Wanahitajika wenye vipaji na utaalamu mbali mbali

TAI DUME

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
9,741
26,190
Wakuu, wanahitajika watu wa makundi yote wenye vipaji au utaalamu wa kufanya kitu chochote kinachohusiana na ubunifu (isipokuwa kuimba na kuigiza). Lengo ni kutaka kuanzisha tv program ambayo imesharatibiwa na iko ktk hatua za mwisho na hivyo kutoa exposure kwa wenye vipaji vya ubunifu ambao hawana uwezo au forums za kujitangaza.
Mfano kuna watu wenye vipaji au utaalamu wa kuigiza sauti za wanyama, kujinyonga nyonga mwili, kuchezea baiskeli, kugeuza macho, ubunifu katika local technology, kujibu maswali ya papo kwa papo hususani academic issues na hata komedi etc,,,,

Kama unahisi unafaa au kuna mtu unamfahamu tuwasiliane kwa 0713 307072 kwa ajili ya maelekezo zaidi.
NB: Makundi yote kuanzia watoto, viana mpka wazee
 
hahaa tumejiandaa kupoka magunia wasiwe na wasi wasi
 
Back
Top Bottom