Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,339
- 1,493
Wanahitajika vijana wa kike (7) na wakiume (3) kwa ajili ya kuuza matunda na mboga mboga kwenye maofisi mbalimbali.
Sifa
1. Uwe mzuri kimuonekano.
2. Uwe unajua kujieleza.
3. Ujue kuvaa na kupendeza.
Majuku: Kufanya mauzo ya bidhaa (matunda na mboga mboga) maofisini.
Malipo: Kutwa.
Ofisi: N/A
Mahali pa kazi: Dar es Salaam.
Tarehe ya kazi: 11/02/2019.
Aliye tayari na mwenye uhitaji aje PM.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa
1. Uwe mzuri kimuonekano.
2. Uwe unajua kujieleza.
3. Ujue kuvaa na kupendeza.
Majuku: Kufanya mauzo ya bidhaa (matunda na mboga mboga) maofisini.
Malipo: Kutwa.
Ofisi: N/A
Mahali pa kazi: Dar es Salaam.
Tarehe ya kazi: 11/02/2019.
Aliye tayari na mwenye uhitaji aje PM.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app

