Wanahitajika Walinzi wachache

Wanahitajika Walinzi wachache

Bodyguard

Member
Joined
Jul 2, 2012
Posts
27
Reaction score
2
Wanahitajika Walinzi wachache wenye sifa zifuatazo:

1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35
3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate itatakiwa).

6. Uzoefu: Waliopitia JKT au Mgambo au wenye ujuzi na kazi watapewa kipau mbele

Tuma maombi yako na CV kwa firstresponsebrigade@gmail.com au nitumie PM

NB: Kama una shida yu kupata Mlinzi binafsi/Security Guard nyumbani au ofisini kwako kwa bei nafuu, tafadhali wasiliana kupitia email zilizotolewa au PM.
 
Vipi mshahara...kituo cha kazi wapi??naweza kuja na BUNDUKI yangu? ??
 
Vipi mshahara...kituo cha kazi wapi??naweza kuja na BUNDUKI yangu? ??

Mshahara ni maelewano na inategemea na Lindo lipi utapangiwa.
Bunduki: Siwezi kuliongelea hapa.
 
Wanahitajika Walinzi wachache wenye sifa zifuatazo:

1. Jinsia: Kiume na Kike
2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35
3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea:
4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili
5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate itatakiwa).
6. Uzoefu: Waliopitia JKT au Mgambo au wenye ujuzi na kazi watapewa kipau mbele

Tuma maombi yako na CV kwa firstresponsebrigade@gmail.com au nitumie PM

NB: Kama una shida yu kupata Mlinzi binafsi/Security Guard nyumbani au ofisini kwako kwa bei nafuu, tafadhali wasiliana kupitia email zilizotolewa au PM.
...kuna haja gani ya kuweka jinsia wakati umetaja zote....
 
Usahihisho wa lugha si jinsia tunapaswa kusema jinsi (me na ke)
...hahaha sawa mkuu lakini pia si "usahihisho" bali ni "usahihi" wa lugha....
 
mkuu wasikubabaishe hao hao watakuwa wanaongelea bunduki ya duli
 
mmmh sijamaliza form four, nisaidie basi mkuu.
 
Back
Top Bottom