TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,899
Hapo anasubiri awajaze madogo wote wanne chumba kimoja chenye magodoro yaliyolika, na kuwalisha ugali kila siku na kuwatumikisha bila kuangalia upande wao na kujali maslahi tuToa basic information kama location, Phone number, malipo etc
ndio tabia yako hiyo itakuaHapo anasubiri awajaze madogo wote wanne chumba kimoja chenye magodoro yaliyolika, na kuwalisha ugali kila siku na kuwatumikisha bila kuangalia upande wao na kujali maslahi tu
Una nguvu ya kusukuma mkokoteni?Mkuu nimekutumia CV yangu PM.
I have also attached a letter lf interest for your consideration.
Thanks in advance.
Ndiyo mkuu, I have been training for such jobs my whole life.Una nguvu ya kusukuma mkokoteni?
Wahitaji wapoKweli life lina bana
Acha nikomae na ulinzi wangu wakufungua ma geti.
Aisée sinaga ukatili wa hivyo mkuu, wote tu tunakula kutoka kwenye meza moja, watakula ninachokula, na watalala sehemu safi kabisa!Hapo anasubiri awajaze madogo wote wanne chumba kimoja chenye magodoro yaliyolika, na kuwalisha ugali kila siku na kuwatumikisha bila kuangalia upande wao na kujali maslahi tu
Ndiyo maajabu haya...Vijana wanataka kazi ya kupulizwa na kiyoyozi
sio wote bro, Ma-boss wanaoamiini katika laissez-faire leadership na huwajali sana wafanyakazi wao. Hiyo hiyo kazi kuna dogo nilikutana naye zenj ana kitoroli cha machungwa kama kighorofa anasema kwa siku kuuza machungwa ya elfu 80 ,90 hadi laki ni kawaida sana,akikosa saaana huwa anauza elfu 30-50...hapo akitoa running cost kwa siku hakosi faida kuanzia 30+(ingawa huko sikumuuliza)....inawezekana jamaa kishausoma mchezo anataka kutumia fursa na sio makosa sababu hata watu ni rasilimali kubwa sana kwenye fursa yoyote.Hapo anasubiri awajaze madogo wote wanne chumba kimoja chenye magodoro yaliyolika, na kuwalisha ugali kila siku na kuwatumikisha bila kuangalia upande wao na kujali maslahi tu
Well said invisible, watu wanapokuwa na negative attitude kwa kila kitu ni tatizo kubwa sana, mimi vijana wote niliowahi kufanya nao kazi huwa tunakula meza moja, kama ni dagaa basi wote tutakula dagaa, kama ni maharage wote tunakula maharage,hivyo yaanisio wote bro, Ma-boss wanaoamiini katika laissez-faire leadership na huwajali sana wafanyakazi wao. Hiyo hiyo kazi kuna dogo nilikutana naye zenj ana kitoroli cha machungwa kama kighorofa anasema kwa siku kuuza machungwa ya elfu 80 ,90 hadi laki ni kawaida sana,akikosa saaana huwa anauza elfu 30-50...hapo akitoa running cost kwa siku hakosi faida kuanzia 30+(ingawa huko sikumuuliza)....inawezekana jamaa kishausoma mchezo anataka kutumia fursa na sio makosa sababu hata watu ni rasilimali kubwa sana kwenye fursa yoyote.