sas nishike lipi?Hamna ni maombezi yakikolea, unajua ndio nakuandalia hapa nikasahau sema maombezi yakipanda inanitoka dawa
Huwez kugombea majimbo mawiliUlisha wahi ona wap mgombea analipobda jimbo analo gombea?
Huwez kugombea majimbo mawili
shika hii huduma ya maombezi!! .. ukiwa tayari nambie tusas nishike lipi?
Nimekuona na new bae
Chaiiii! Mbona unamsingizia mgombea?
Sawa nabiishika hii huduma ya maombezi!! .. ukiwa tayari nambie tu
sawa ya upo tayari?Sawa nabii
KweliHuna lolote
Ulisha wahi ona wap mgombea analipobda jimbo analo gombea?
Naisubiri hiyo dawasawa ya upo tayari?
Ngoja nikufate huko hapa upepo mwingi haitakuingia saanaNaisubiri hiyo dawa
nna waswas na hii dawa kwa kweliNgoja nikufate huko hapa upepo mwingi haitakuingia saana
wasiwasi upi tena!?.. unajua ukiweka viulizo utakuja na uzi tofauti MMUnna waswas na hii dawa kwa kweli
NitajifunzaUnaweza kunyonga?
Tangazo lako ungeliongezea na namba ya simu iwe rahisi kulisambaza kwenye makundi ya whatsapp huko rahisi kupata unaowahitajiKuna kundi la burudani ninalianzisha nikishirikiana na tajiri (dorn) maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Kundi litakua likitumbwiza kwenye ma-night klabu na litakua likikodiwa kwenye dhifa na sherehe mbalimbali nchini na ndani ya Afrika Mashariki.
Kwa sasa tayari tumeshapata vijana wa kiume wenye vipaji vya kunengua na sarakasi, na walimu kutoka chuo cha sanaa. Ila ninataka kuongeza idadi ya mabinti wenye viuno laini ambao tayari wanauzoefu au binti yoyote yule ambaye yupo tayari kujiunga na kambi ili aanze mazoezi.
Awe na afya njema, asiwe na aibu na pia awe tayari kuhamia kambini Dar maeneo ya Magomeni ili kuungana na wanenguaji wenzie. Mipango ya passport kwaajili ya show za nje itafanywa kwa gharama za Menejimenti. Waombaji kutoka mikoani watatumiwa nauli.
Karibuni PM kwa maelezo zaidi.