Wanahitajika mabinti 6 wanenguaji 'kiuno bila mfupa' wa kutumbuiza miondoko ya 'kanga moko' jijini Dar

Kuna kundi la burudani ninalianzisha nikishirikiana na tajiri (dorn) maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Kundi litakua likitumbwiza kwenye ma-night klabu na litakua likikodiwa kwenye dhifa na sherehe mbalimbali nchini na ndani ya Afrika Mashariki.

Kwa sasa tayari tumeshapata vijana wa kiume wenye vipaji vya kunengua na sarakasi, na walimu kutoka chuo cha sanaa. Ila ninataka kuongeza idadi ya mabinti wenye viuno laini ambao tayari wanauzoefu au binti yoyote yule ambaye yupo tayari kujiunga na kambi ili aanze mazoezi.

Awe na afya njema, asiwe na aibu na pia awe tayari kuhamia kambini Dar maeneo ya Magomeni ili kuungana na wanenguaji wenzie. Mipango ya passport kwaajili ya show za nje itafanywa kwa gharama za Menejimenti. Waombaji kutoka mikoani watatumiwa nauli.

Karibuni PM kwa maelezo zaidi.
Tangazo lako ungeliongezea na namba ya simu iwe rahisi kulisambaza kwenye makundi ya whatsapp huko rahisi kupata unaowahitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom