Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,614
- 67,078
Aaah hilo tuu?Nimekuona na new bae
We usijali New bae na mimi ni free birds
Hana shida huyo.
Aaah hilo tuu?Nimekuona na new bae
Aaah hilo tuu?
We usijali New bae na mimi ni free birds
Hana shida huyo.
Harusini
Asa unaenda wap?
Twende wote basiHarusini
Nakusubir njia pandaTwende wote basi
Koh kohUlisha wahi ona wap mgombea analipobda jimbo analo gombea?
Kuna kundi la burudani ninalianzisha nikishirikiana na tajiri (dorn) maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Kundi litakua likitumbwiza kwenye ma-night klabu na litakua likikodiwa kwenye dhifa na sherehe mbalimbali nchini na ndani ya Afrika Mashariki.
Kwa sasa tayari tumeshapata vijana wa kiume wenye vipaji vya kunengua na sarakasi, na walimu kutoka chuo cha sanaa. Ila ninataka kuongeza idadi ya mabinti wenye viuno laini ambao tayari wanauzoefu au binti yoyote yule ambaye yupo tayari kujiunga na kambi ili aanze mazoezi.
Awe na afya njema, asiwe na aibu na pia awe tayari kuhamia kambini Dar maeneo ya Magomeni ili kuungana na wanenguaji wenzie. Mipango ya passport kwaajili ya show za nje itafanywa kwa gharama za Menejimenti. Waombaji kutoka mikoani watatumiwa nauli.
Karibuni PM kwa maelezo zaidi.
Ipo buguruni sehem gan? Je tayar wanayo mafunzo au?Mkuu,kuwa pata hao cmpo sana,nenda Dolar club (Buguruni) jaribu kuzungumza na menejiment utawapata wengi sana!
Mlete tumpe kaziKuna rafiki angu bonge ila anacheza huyo na akicheza anapiga na msamba . Ye ni mfano halisi wa kibonge mwepesi
Hawezi ni banker NMBMlete tumpe kazi
Huyo hataweza, maslah huku yanapungua kidogo kwa bankerHawezi ni banker NMB
Nimejikuta nacheka kwasauti baada ya kusoma huu uzi,lugha uliyotumia mkuu kwenye hili tangazo lako imeniacha hoiKuna kundi la burudani ninalianzisha nikishirikiana na tajiri (dorn) maarufu hapa jijini Dar es Salaam. Kundi litakua likitumbwiza kwenye ma-night klabu na litakua likikodiwa kwenye dhifa na sherehe mbalimbali nchini na ndani ya Afrika Mashariki.
Kwa sasa tayari tumeshapata vijana wa kiume wenye vipaji vya kunengua na sarakasi, na walimu kutoka chuo cha sanaa. Ila ninataka kuongeza idadi ya mabinti wenye viuno laini ambao tayari wanauzoefu au binti yoyote yule ambaye yupo tayari kujiunga na kambi ili aanze mazoezi.
Awe na afya njema, asiwe na aibu na pia awe tayari kuhamia kambini Dar maeneo ya Magomeni ili kuungana na wanenguaji wenzie. Mipango ya passport kwaajili ya show za nje itafanywa kwa gharama za Menejimenti. Waombaji kutoka mikoani watatumiwa nauli.
Karibuni PM kwa maelezo zaidi.
Hahahha, ujumbe ndo huo mkuu na nimejitahidi sana kueleza kwa lugha nyepesi huku nikifafanua vipengele vyoteNimejikuta nacheka kwasauti baada ya kusoma huu uzi,lugha uliyotumia mkuu kwenye hili tangazo lako imeniacha hoi
N
Aisee lugha inaogopesha applicants ha ha ha ha ila ngoja nianze mazoezi naweza pata hii fursa saiz kazi kazi tuHahahha, ujumbe ndo huo mkuu na nimejitahidi sana kueleza kwa lugha nyepesi huku nikifafanua vipengele vyote