Wanahitajika Civil Engineers 2 Katika Kampuni ya Future Group of Company

Wanahitajika Civil Engineers 2 Katika Kampuni ya Future Group of Company

Tuwaseme

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
645
Reaction score
1,198
Habari zenu. Future Group Company iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, leo tarehe 23.2.2018 inawatangazia nafasi 2 za Civil Engineers. Elimu uwe na Bachelor Degree.

Kama una Kigezo Hicho na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba ututumie CV yako kwenye Email ifuatayo: hrfbde@gmail.com

Baaada ya kututumia CV yako kama ukichaguliwa tutakutumia tarehe ya Usahili na Usisahau Kuja na:

1. Kopi ya Vyeti Vyako 2. Passport size mbili
3. Kitambulisho Cha kupigia Kura au Kitambulisho cha Taifa au Pasi ya Kusafiria.

Asanteni Sana
 
Back
Top Bottom