Wanahitajika business partners

kuanzia laki 5 na kuendelea, kama nilivyosema, in this cycle inahitajika 10mil pekee ku-boost cash flow.
Karibu sana boss.
Kwahiyo kumbe kutakuwa na partner kadhaa sio mmoja, na ukiweka utalazimika kushughulika na mambo mengine au ukiweka una endelea na mambo yako tu kama hisa unasubiri return. maana mkanganyiko huu unakuja baada ya neno partner na share.
 
zoezi lote tutalimaliza sisi wenyewe, wewe ukishaweka ela yako utasubili returns zako kwa kipindi ambacho tutakuwa tumeelewana. swala la production, sales, distribution and collection of credits litakuwa juu yetu.
 
Je unaweza kunihakikishia usalama wa hela nitazochangia kwenye huo mradi wenu?
 
Je unaweza kunihakikishia usalama wa hela nitazochangia kwenye huo mradi wenu?
bila shaka, haya ndio mambo tunayoweza yajadiri pembeni, maana yana involve business privacy. Ila ondoa shaka juu ya swala la usalama wa fedha zako katika mradi huu.
 
Naweza kupata hizo dagaa kwa bei ya jumla?
 
Kweli pesa imekuwa adimu kwa wengi wetu,10m ilikuwa pesa ya kwenda nayo Dubai wikiendi,siku hizi majanga!!
Maisha yamebadilika kwa wengi!!
Unaweza kuta mleta mada akakosa mdau wa kushare naye biashara kisa 10m hakuna!!
 
Fungua page Facebook na Instagram then anza kutupia facts nadhani utapata wateja wa wholesale mikoani, kuhusu kupata mtaji wa ziada weka maelezo how the one will benefit?

Unajua hapa wasomi wengi hukosa fursa kama hizi coz wanafikilia Leo na kesho watapata kitu gani, hawa wazi mbali.

Entrepreneurs are risk takers..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…