MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Katika jambo la kupingwa kwa nguvu zote ni hili! Inakuaje Sheria ya nchi inakiukwa wazi wazi huku taratibu za kuajiri watu hawa zipo?
Kwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma hizi nafasi ni za watumishi wa serikali watakaoajiriwa kwa utaratibu wa kawaida unaofahamika.
Hawa watu walitakiwa wawe wamekaa ndani ya utumishi wa umma muda usiopungua miaka kumi!Sasa ndani ya ofisi za serikali ofisi za umma kuna siasa gani inaenda kufanyika?
Kwanini wanateuliwa makada wa chama cha mapinduzi ambao wengine bado viongozi ndani ya chama?Hili jambo litalivuruga taifa sio kidogo na Mh Rais ashauriwe haraka juu ya hili. Haiwezekani kabisa kukika katiba ya nchi mchana kweupe.