Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Mwenyekiti wa bodi ya TGNP vicencia shule alitoa takwimu hizo wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika siku tatu ya mafunzo kwa wanawake juu ya kutumia takwimu kueleza mafanikio, changamoto na kupaza sauti zao.
Alieleza kuwa uwakilishi wa wanawake katika ngazi za maamuzi serikalini ullikuwa 38% katika kipindi cha JK, JPM alipoingia ulishuka hadi 20 kufikia dec 2016, na hadi march 2017 umeshuka zaidi na kufikia 19%.
source: Ippmedia
Wanaharakati wamkumbuka JK
Maoni yangu:
Kwa trend hii ya 1% kwa miezi 3, then kwa miezi 45 iliyobaki kufikia mwisho wa utawala wa JPM uwakilishi wa wanawake utakuwa 4%.
Mimi tume ya katiba katika hili namuunga mkono JPM.