Wewe kakalende naona hauko makini kufuatilia taarifa, takribani wiki tatu wanaharakati wamefanya kazi kubwa sana kwa kuongea na madaktari, serikali na kutoa matamko mbalimbali kuishinikiza serikali kuwasikiliza madaktari na kuwapa wanachokitaka, juzi wameandamana na kuipa serikali masaa kadhaa ichukue hatua lasivyo watahamasisha watanzania wote kuandamna kesho yake yani jana serikali imechukua hatua madaktari wamerudi, kama wao waliandamana wewe unadai wamedandia, hebu tueleze wewe umefanya nini kuhakikisha madaktari wanarudi, wapuuzi kama nyinyi mnaishia kuropoka na kuponda hata kile kidogo kinachofanywa na wenzenu kusaidia wanyonge huku mkishidwa kuchukua hatua yoyote, ni lazima tuwapongeze wale wote waliosimama kutetea madaktari naona wewe umetumwa na mzee wa upako