Y yesaya ibrahim Member Joined Jan 13, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Apr 7, 2011 #1 Mwanaharakati wa kweli afrika ni mandela peke yake,wengine wanatulkisha upepo,tuliowaamini wamwgeuka watawala badala ya viongozi,tuliowapa wavisimamie wamevifanya vyao na ukoo wao
Mwanaharakati wa kweli afrika ni mandela peke yake,wengine wanatulkisha upepo,tuliowaamini wamwgeuka watawala badala ya viongozi,tuliowapa wavisimamie wamevifanya vyao na ukoo wao
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 Apr 8, 2011 #2 Huwa nawauliza siku zote huyu mtu mnamuimba kama mwanamapinduzi wa Afrika,Je ameifanyia nini Afrika zaidi ya nchi yake?
Huwa nawauliza siku zote huyu mtu mnamuimba kama mwanamapinduzi wa Afrika,Je ameifanyia nini Afrika zaidi ya nchi yake?