Bunge na sio binge, una haraka ya nini? Au na wewe ndo kama hao waandishi wa habari! Hebu edit hapa.binge na mahakama. Mwisho wa wanahabari kuwa mhili
Bro usiwalaumu waandishi kwani hawana vyombo vyao wanafanya kazi kwenye vyombo vya wayu na inabidi wafate sera za hao watu waliowaajiriInawezekana mitaala yetu nchi nzima ni mibovu hivyo inatoa wanafunzi, walimu na wahitimu wabovu pia kwenye kila fani, lakini wahitimu kwenye journalism ni wabovu zaidi...
Sijabaini bado hoja yako, ila naendelea kupitia tenaInawezekana mitaala yetu nchi nzima ni mibovu hivyo inatoa wanafunzi, walimu na wahitimu wabovu pia kwenye kila fani, lakini wahitimu kwenye journalism ni wabovu zaidi...
Wanasiasa wako huru siku hizi kufanya na kusema chochote baada ya mhimili huu wa habari kufa nchini. Waandishi wa nchi nyingine ndio chanzo Cha utawala Bora kwenye mataifa yao.Pole sana kwa Kuchelewa kujua Mapungufu yao ambayo kwa Sisi wengine tulishaanza Kuyaona miaka 20 iliyopita na kama ni Kuwakosoa na Kuwaelekeza tena kwa Kuwafundisha pia tumeshafanya mno ila wamebakia ( wameamua ) kuwa Vichwa Maji na kutotaka Kubadilika. Binafsi nilishawadharau Kitambo Mkuu.
Kama unaona chombo kinaenda kinyume na unachokiamini ni heri utoke TU. Mimi niliwahi kuachakazi chuo kikuu kimoja baada ya kuona chuo hicho hakifuati maadili na taratibu. Kuna shida gani watu kuacha kazi na kujitegemea? Elimu yetu ni mbovu bhana, hata Prof. anaogopa kusema ukweli ili asipoteze ajira.Bro usiwalaumu waandishi kwani hawana vyombo vyao wanafanya kazi kwenye vyombo vya wayu na inabidi wafate sera za hao watu waliowaajiri
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mkitekwa mnaanza sema tunaenza ZimbabweInawezekana mitaala yetu nchi nzima ni mibovu hivyo inatoa wanafunzi, walimu na wahitimu wabovu pia kwenye kila fani, lakini wahitimu kwenye journalism ni wabovu zaidi...
Hata mimi napata kichefuchefu kusikiliza hizi Radio na TV. Utafikiri wako kwenye payroll ya serikali. Ukiwauliza utawasikia wakisema hakuna habari inavyozidi uhai wako . Jamani uhai wako utakuwa mashakani kama wewe peke yako TU ndiye unaeandika ukweli peke yako. Haiwezekani uhai wa waandishi woote upotee kwa kuandika habari za kweli na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kufuata taratibu zote za kiandishi zenye maslahi kwa nchi na dunia wakapotezewa uhai wao. Kila kazi inazo occupational risks zake ambazo ni sehemu ya kazi husika. Mfano, hatushangai mtu wa umeme kupigwa shoti na umeme, mpishi kuunguzwa na mafuta jikoni, askari kujeruhiwa, daktari kuambukizwa TB, corona au HIV na mgonjwa.Ikatokea bahati mbaya ukafungilia hizi radio hasa za FM utashangaa sana ndugu yangu hutaamini!!! Mimi ndio maana niliachana na local chanels radio na TV!!!
Wanawaza teuzi !!! Ukuu wa mkoa au wilaya na vyeo vya namna hiyoHata mimi napata kichefuchefu kusikiliza hizi Radio na TV. Utafikiri wako kwenye payroll ya serikali. Ukiwauliza utawasikia wakisema hakuna habari inavyozidi uhai wako . Jamani uhai wako utakuwa mashakani kama wewe peke yako TU ndiye unaeandika ukweli peke yako. Haiwezekani uhai wa waandishi woote upotee kwa kuandika habari za kweli na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kufuata taratibu zote za kiandishi zenye maslahi kwa nchi na dunia wakapotezewa uhai wao. Kila kazi inazo occupational risks zake ambazo ni sehemu ya kazi husika. Mfano, hatushangai mtu wa umeme kupigwa shoti na umeme, mpishi kuunguzwa na mafuta jikoni, askari kujeruhiwa, daktari kuambukizwa TB, corona au HIV na mgonjwa.
Wanasiasa wanazifahamu hatari zao, ndio maana wanaingiza waandishi na askari kwenye siasa ili kujihakikishia usalama wao. Wanahabari wa Sasa ni mateka wa wanasiasa.Wanawaza teuzi !!! Ukuu wa mkoa au wilaya na vyeo vya namna hiyo
Na yeye mwenyewe akawagongelea msumari wa moto wasifu na kuabudu tuAlisema JPM kila kitu hewa.
Wewe Ni km Mimi ht hamu ya kununua redio Sina na ht nikikuta wanangu kwny taarifa ya habari nawafokeaIkatokea bahati mbaya ukafungilia hizi radio hasa za FM utashangaa sana ndugu yangu hutaamini!!! Mimi ndio maana niliachana na local chanels radio na TV!!!
Waliye waloga sijui nani?tuseme no mawindo ya teuzi tuu ama yapo ya ziada, wenyekujua msaada tafadhali.Wanawaza teuzi !!! Ukuu wa mkoa au wilaya na vyeo vya namna hiyo