Wanahabari watashabikia CHADEMA dhidi ya Usalama wao?

Wanahabari watashabikia CHADEMA dhidi ya Usalama wao?

Waandishi makanjanja ni shida sana. Aliyepigwa ni mwenyekiti wa jukwaa la wahariri lakini hao wanachama wake wanamshabikia muuaji wao
 
Magamba hamna hoja kabisa na mnatumia akili ndogo kwenye masuala mazito.Hivi wale polisi waliomuua mwangosi walitumwa na CHADEMA? Watu waliowahi kumwagia tindikali Saed Kubenea na hatimaye baadae kulifungia gazeti la MwanaHalisi ni CHADEMA? Hivi aliyemshitaki Kibanda kwa 'uchochezi' alipolikosoa jeshi la polisi ni CHADEMA? Hivi Mhe.Bernard Membe aliyekiri ITV kuwa ana waandishi wa habari wawili ana bifu nao na kuahidi kuwashughulikia ni CHADEMA? Tuambie kada wa CCM aliyemtemea mate mwandishi wa habari 2012 kule Mufindi alitumwa na CHADEMA? Na yule aliyewahi kuwa mwandishi/mtangazaji Amina Chifupa aliyetaka kuwaumbua makada wa CCM kabla ya kuawawa kwake,je ni CHADEMA? Kama una akili timamu utagundua huhitaji degree ya metaphysics kujua adui wa mwandishi wa habari ni nani!
MLETA UZI NI NDEZI ASIYE MCHAMBUZI WA MAMBO,SIO MWELEWA MBAYA ZAIDI HAJITAMBUI ANACHOJALI NI KUJAZA MIKOJO NA CHOO MWILINI MBAYA ZAIDI SIO MPENZI WA KUSOMA VITABU WALA MAGAZETI,NI WALE WATU WANAOSHANGAA MPIRA DAK 120 LAKINI YEYE KATU HAFANYI MAZOEZI YA AINA YEYOTE NA ANAONEKANA ANAJUA KINACHOENDELEA NA ANAKIFURAHIA VIBAYA AKIFIKIRI WATANZANIA WA LEO NI WAJINGA WA KUNG'AA SHARUBU NA KUJIKUNA UPELE HUKU MALI ZIKIPORWA NA MAISHA YAKITEKETEZWA NA KUTELEKEZWA KWA KILA NAMNA ,ENYI MLIOVAMIA NA KUJIPANGA HUMU KUNAKO MITANDAO Watanzania SIO WAJINGA KIASI HICHO WANAJUA KILA KITU PAMOJA NA HILA ZENU ZA KUKOROGA BONGO ZAO LAKINI WAKO MAKINI NA WANAFUATILIA MOVIE KIMYAKIMYA(ogopa watu wanaofukuza mwizi kimyakimya wakimshika huyo ni halali kwa panga,nondo,mawe na hata kibiriti cha moto).
 
Last edited by a moderator:
Hii ishu imekuwa kama ile ya shonza, walikuwa wanaripoti ya chadema tu lakini madai ya shonza hakuna gazeti wala tv iliyoonyesha,,,njaa mbaya sana
 
Nataka kuwaiti je, wanahabari baadhi wataendeleza ushabiki wao kwa Chadema badala ya kuwa objective Kama taaluma inavyowataka? Nimeona udhaifu mkubwa kwao kushabikia zaidi Chadema kinyume cha mipaka yao ya kazi. Let's stay tuned

Kwa maana hiyo matukio dhidi ya wanahabari ni mkakati maalum ili wakichukie CHADEMA?
 
Vijana mnatumika vibaya sana...mnathubutu hadi kupewa kazi ya kupanga mauwaji
 
Kwa maana hiyo matukio dhidi ya wanahabari ni mkakati maalum ili wakichukie CHADEMA?

wanachopaswa ni kuripoti kile kinachotokea sio wanachotakiwa na chadema kukiripoti na hapo ndio jamii inapowaona kuwa wamekosa weledi badala yake njaa imewazidi..hawaaminiki tena
 
wanachopaswa ni kuripoti kile kinachotokea sio wanachotakiwa na chadema kukiripoti na hapo ndio jamii inapowaona kuwa wamekosa weledi badala yake njaa imewazidi..hawaaminiki tena

Na wasiporipoti 'kile kinachotokea', what will happen to them? Kung'olewa meno na kucha?
 
wanachopaswa ni kuripoti kile kinachotokea sio wanachotakiwa na chadema kukiripoti na hapo ndio jamii inapowaona kuwa wamekosa weledi badala yake njaa imewazidi..hawaaminiki tena

Utaifakwanza, Naona unadhibiti wanaokurupuka humu JF kwa hoja, kweli wewe kamanda. Yaani unanikumbusha pale siku papa anatangazwa kwenye balcony wanaanza kusema kwa kilatini abenus papam ..... We have a new pope.....kwako wewe nasema we have a new commander katika kujibu wanaokurupuka.
 
wewe ndugu yangu kweli umekosa dila siku zote ukweli utabaki palepale husizani watanzania wale bado ni wajinga la hasha.waandishi wanalijua ilo leo ulimboka yuko wapi? serikali imefikia wapi? ndugu hata kama unashare uko kuwa makini kama wenyewe kwa wenyewe wabomoana ijekuwa wewe leo kiongozi wangu wa mbeya baada ya mateso makubwa leo kapewa kifuta jasho upelelezi wake mpaka leo unajua umeishia wapi?au unazani atujui kama ni su.......... aliwekewa.ila mimi naamini atakaye kuja kufichua yote haya atatoka ndani ya kambi yao sbb wao kwa hao wanageukana kila kukicha.
 
kuna wash.... wachache wanachelewesha ukombozi wa taifa hili toka kwa manyangau walewale miaka nenda rudi kwasababu tu wao wananufaika mbaf. sana.

Kaa hivyo hivyo unaefikiri kwa masaburi,kaa na imani eti kuna mtu au chama kinataka kukomboa matatizo ya familia yako,fanya kazi!
 
Tangu siku Ccm walipomfyatua mwenzao Mwangosi kule mufindi waandishi waliapa kutoibeba Ccm tena, hii propaganda inaendelea jamii forum tu huko mtaani hakuna huu mjadala
 
Hii ishu imekuwa kama ile ya shonza, walikuwa wanaripoti ya chadema tu lakini madai ya shonza hakuna gazeti wala tv iliyoonyesha,,,njaa mbaya sana
Ya shônza yalikufa ndani ya siku tano tu, kudadadek! Hili la lwakatare mpaka tar 1 mwezi ujao litakuwa kama halikuwepo, mlidhani walipomfukuza Nchimbi walikuwa wanatania
 
Tangu siku Ccm walipomfyatua mwenzao Mwangosi kule mufindi waandishi waliapa kutoibeba Ccm tena, hii propaganda inaendelea jamii forum tu huko mtaani hakuna huu mjadala
 
Hii ishu imekuwa kama ile ya shonza, walikuwa wanaripoti ya chadema tu lakini madai ya shonza hakuna gazeti wala tv iliyoonyesha,,,njaa mbaya sana

nakubaliana na wewe, njaa mbaya mkuu, kama yako ndo imezidi.

Kwa utashi wenu finyu mlidhani mngepata airtime ya kutosha bt wanahabari wameweza pima mbinu zenu za kitoto na kuwapuuza.

shame on u maccm

viva cdm
 
Nipo makini kufuatilia mwenendo wa media katika hii kamatakamata ya watuhumiwa wa kutekwa, kuteswa na kuumizwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, na kuteswa wanahabari kwa ujumla wao kwani haijulikani nani atafuatia kung'olewa kucha na jicho baada ya Kibanda.

Nataka kuwaiti je, wanahabari baadhi wataendeleza ushabiki wao kwa CHADEMA badala ya kuwa objective Kama taaluma inavyowataka? Nimeona udhaifu mkubwa kwao kushabikia zaidi CHADEMA kinyume cha mipaka yao ya kazi. Let's stay tuned.
Waandishi wa habari sio wajinga kama unavyofikiria wanajua ukweli na adui wao siku zote ni nani ndio maana TV zimesusia kuipa coverage habari hii imebaki Cloud TV peke yake.
 
Wanajua alietaka kumuuwa ni serekali ya Ccm na vibaraka wao kwahiyo Mwangosi, Ulimboka na Kibanda wote ni Chadema ? hihi serikali inafanya watu mazuzu
 
Nipo makini kufuatilia mwenendo wa media katika hii kamatakamata ya watuhumiwa wa kutekwa, kuteswa na kuumizwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, na kuteswa wanahabari kwa ujumla wao kwani haijulikani nani atafuatia kung'olewa kucha na jicho baada ya Kibanda.

Nataka kuwaiti je, wanahabari baadhi wataendeleza ushabiki wao kwa CHADEMA badala ya kuwa objective Kama taaluma inavyowataka? Nimeona udhaifu mkubwa kwao kushabikia zaidi CHADEMA kinyume cha mipaka yao ya kazi. Let's stay tuned.

Toa ushahidi na sio kubweka kama mbwa mwenye kichaa ni ushabiki upi walshaufanya kwa chadema?na wakiwa wapi?na habari hiyo ilihusu nini hadi wanahabari wakaitoa ndivyo sivyo?make ushabiki ni kumpamba mtu kwa mazuri ambayo kiuhalisia hayapo kama vile gazeti la uhuru linavyotoa habari tofauti na uharisia kama zitahusu ccm kwa mabaya ya ukweli hawako tayari kuyasema wakidhani taarifa ni mazuri tu nasio na mabaya pia.
 
Siku wakigundua kuwa wanaongopewa watakimbia na kusahau camera zao. Aibu yenu Waandishi habari wa Tanzania hasa nyie wenye njaa.
 
Back
Top Bottom