Yaaani mwanahabari umwelekeze jinsi ya kuandika application letter?
Tanzania ya VIWANDA yaja
Application letter ni formal letter haina mbwembwe.sioni shaka ya kumwelekeza, maana kila kampuni na style yao wanayotaka kwa muda huska,,,,
wenda wanataka jina la postion, na majina yako basi. ni mfano tu
Kazi njema