Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
Ukweli mchungu huo. Alternatively, uulize swali la kumpa Kiki au ujikoNi bora kula ugali wako na watoto wako ukiigiza bubu
kuliko kujifanya una kipaji cha kuuliza halafu uache watoto yatima
Mmhh..Ni bora kula ugali wako na watoto wako ukiigiza bubu
kuliko kujifanya una kipaji cha kuuliza halafu uache watoto yatima
Mmhh..
Na wewe umefika level hizi!??
Waliona hakuna mpya wakaogopa kuhoji chochote wasije kuitwa wachocheziSalam za weekend wakuu...
Jana katika uteuzi wa baraza la mawaziri kulitokea jambo lisilo la kawaida.
Mara baada ya rais kumaliza alitoa nafasi kwa waandishi waweze kumuuliza maswali yeye ama waziri mkuu au Makamu wa rais.
Lakini waandishi waliamua kukaa kimya.
Jambo hili sio la kawaida kabisa,hasa kwa hali ya mambo yalivyo maana kuna mambo mengi ya kuhitaji kupata ufafanuzi,iweje wao wakae kimya?
Wamechoka kufanya kazi? Maelekezo kutoka juu wasiulize chochote?
Ushauri,
Press nyingine zifanyike vyuoni kama pale udsm ili waweze kumuhoji vizuri.
wasalam..
Tena Maliyamungu Bashite alikuwepo unategemea Mwandishi angethubutu kuuliza swali?Mimi levo ipi mkuu?
baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi unataka niwe jasiri wa kupigana na Iddi Amini?
Na bado alichinbwa mikwara kiimya kiimya na akina Jerry Muro wazee wa Nissan nyeupeMayala maana yake njaa... Nadhani bado wana hiyo kumbukumbu
Nissan nyeupe bado ipoUliza uende kusikojulikana.
Shoza kapata Uwaziri kwa Rushwa isiyojulikana unategemea swali? Nani angethubutu?Kudhalilishwa na mtu usiyeweza kumfanya lolote.
Unaweza ukauliza ukajibiwa "ulitaka uteuliwe wewe"
Mange keshaubua Rushwa ya shoza mpaka kupata uwaziSi wamtumie Mange tu....
Oh wow...kumbe keshasema??Mange keshaubua Rushwa ya shoza mpaka kupata uwazi