Tupo mkuu, mie nilikuwa Ilboru kweli hatuna mbele wala nyuma, isitoshe tulikuwa tunatafuniwa kila kitu, nilipofika chuo (udsm) nilitamani tujengewe chuo chetu, pale FOE (FACULTY OF ENGINEERING) shule ilikuwa ngumu mno, wengi tulikula disco wakatupotezea, najuta kusoma special skul, tupo tupo tu .....