Katiya taasisi zilizokua na matatizo ya kiutawala nchi hii hata bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanzia makao makuu hadi maafisa wa mikopo vyuoni yaani ni miungu watuNi takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
unapotoka kwenu jifunze kuja na pesa kiasi sio kulia lia hapa unafikili serikali inafikiria wanafunz tu?kuna mambo mengi kuwa mvumilivu!!Ni takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
Balaa wanalo saut mwanza,SAUT-mtwara tushasign tangu j5, mleta uzi acha siasa, hela za mcc ni za umeme tena bajeti ijayo, pia tambua kuwa hyo hela ya mcc ambazo n tr1.02 huwez fananisha na mapato yetu kwa mwezi ambayo n wastani wa tr1.4. tuache siasa TANZANIA ni yetu.
Ila kura zetu ndo zilikua majani makavu au?vyuo ving vimefungua jumanne,jaman kuwen wavumilivu pesa sio majan makavu inautaratibu wake lazima mjifunze kujiuliza.
Hapa Kazi TuNi takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
kalipe ada usain acha undeziNi takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
Boom lenyewe wakipewa wanalimaliza siku moja tu maana wengine watMtafutA salama au eggyNao sijui wajifunze kujitegemea! ...hamna za boom bali wawe wanadowea kwa majirani ili tufanikishe tanzania ya viwanda.
Wengi wao hutumia boom kulipia adakalipe ada usain acha undezi