Wanafunzi waliohitimu la saba wapangiwe shule mapema

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,652
Reaction score
9,571
Baada ya matokeo ya darsa la saba kutangazwa tarehe 28/11/2022 ni vyema NECTA ikawapangia wanafunzi waliofaulu shule za kwenda mapema ili waweze kufanya maandalizi.

Kuwapangia shule za kwenda mapema kunawpa wazazi kujiandaa na kufanya maamuzi. Hivyo wahusika wa kupanga shule harakisheni zoezi hilo.
 
Necta ishamaliza maliza kazi yake inayohusika na kuwapangia wanafunzi Ni TAMISEMI
 
Kama ungependa mwanao asome shule za boarding au hostel za huku mkoan kilimanjaro tuwasiliane
Ada 600000-750000 kwa mwaka

Call
0764616353
 
Back
Top Bottom